Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Uongo mwingine bausaidii!

Alafu si ulisema huna Muda wa kupoteza kufuatilia wapuuzi? Kumbe unafuatilia kimya kimya?
 
Sasa hutaki Kama minimum take home yetu ni 5m au?inaonekana mnatuchukulia poa sana
 
Ningeshangas kama waimbaji 200 wote wanafanana akili ukitilia maanani majani wanayotumia!
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
kwa mwaka au?
 
Sasa hutaki Kama minimum take home yetu ni 5m au?inaonekana mnatuchukulia poa sana
kadanganye wajinga wenzio, polis wana njaa hadi huruma, wengine hata kadi za benki hawana zimeshikiliwa mitaani
 
kadanganye wajinga wenzio, polis wana njaa hadi huruma, wengine hata kadi za benki hawana zimeshikiliwa mitaani
Wewe unazungumzia police wa nchi jirani,yaani police Kama yule aliyeenda kumkamata sugu pale Mbeya anaweza akaacha kadi yake ya bank kwa deni?
 
Nimeongea amesema hilo kutokana na tukio alilofanyiwa lissu arusha.
 
Wewe unazungumzia police wa nchi jirani,yaani police Kama yule aliyeenda kumkamata sugu pale Mbeya anaweza akaacha kadi yake ya bank kwa deni?
wale ndo angalau wamejikwamua kiuchumi wanamiliki tu pikipiki ywa Sanlg
 
yanapenda kusifiwa tu kuambiwa ukweli hayataki
big up mh. Temba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…