Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 654
- 509
Police wa cheo kipi?Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home