Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makinika ndugu yanguNi jambo jema!
Huyo Meya ni wa Chadema.
Itakuwaje sherehe nifanye nyumbani kwangu wewe uje unitoze kodi, haya ndio mambo ya akina Mamwindi!
hio mbona sio ajabu kama bado hawajalifanyia kazi hili direct basi indirectly utakuwa unailipia...Hii haiwezi kuwa kweli hata kidogo. Mimi nikifanyia birthday party hapa ghetto nikamuita Mariam awe MC na wapishi ni marafiki zangu nani aje kunikamata. Shughuli hii ni ya kiuchumi kwani?
Haiwezekani serikali iwe na watu mburula kiasi hiki. Labda kwa kumbi za kukodi nitaamini lakini nyumbani, sasa si kutaongezeka na kodi ya kupika chakula au kumiliki TV.
Nikazie tu.Mitano tena!
View attachment 1685748
Siku utakayotakiwa kulipa, ndiyo utajua kumbe ni kweli.Hii haiwezi kuwa kweli hata kidogo. Mimi nikifanyia birthday party hapa ghetto nikamuita Mariam awe MC na wapishi ni marafiki zangu nani aje kunikamata. Shughuli hii ni ya kiuchumi kwani?
Haiwezekani serikali iwe na watu mburula kiasi hiki. Labda kwa kumbi za kukodi nitaamini lakini nyumbani, sasa si kutaongezeka na kodi ya kupika chakula au kumiliki TV.
Kwa hiyo venue ya nyumbani nailipia kodi?Ni jambo jema!
Huyo Meya ni wa Chadema.
Itakuwaje sherehe nifanye nyumbani kwangu wewe uje unitoze kodi, haya ndio mambo ya akina Mamwindi!
Wamesahau kwenye ufafanuzi - kumtoa mwali utaratibu ni huo huo.Bado msiba tu tupeleke jiwe
Subiri kodi ya kichwa inarudi na inaanzia mtaa wa kijaniNi jambo jema!
Huyo Meya ni wa Chadema.
Itakuwaje sherehe nifanye nyumbani kwangu wewe uje unitoze kodi, haya ndio mambo ya akina Mamwindi!
Mkuu unataka tufukuze wake zetu? Hahaaaa.Wasi sahau Kodi ya kitanda kwa wana ndoa
Afadhali ya mkoloni, kodi ilikuwa 1 tu, kodi ya kichwa.Tunakoelekea ka nchi ni kuanza kutozwa kodi Hadi za vikojoleo vyetu sasa, then matit tax, au kichwa tax.naona kodi za kikoloni zikirudi tena nchini
Hayo ni maamuzi ya kwenye halmashauri madiwani wengi ni wapya kwenye siasa za maamuzi na wakurugenzi sio wanasiasa.Wewe ni kinara wakusifia ccm humu, leo unajifanya una uchungu, ndo madhara ya ccm kuongoza hili taifa miaka sitini with nothing new, sikuhizi Hali ya uchumi mbovu, sasa wanatesa wananchi
Hapana ni kwa wote ikiwemo mliotukana Magu kipindi cha kampeniWakuu mimi sijaelewa, hiyo kodi ni Wapinzani tu au hadi sisi tuliomtukana Lissu kipindi cha kampeni?!