Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

Hii haiwezi kuwa kweli hata kidogo. Mimi nikifanyia birthday party hapa ghetto nikamuita Mariam awe MC na wapishi ni marafiki zangu nani aje kunikamata. Shughuli hii ni ya kiuchumi kwani?

Haiwezekani serikali iwe na watu mburula kiasi hiki. Labda kwa kumbi za kukodi nitaamini lakini nyumbani, sasa si kutaongezeka na kodi ya kupika chakula au kumiliki TV.
hio mbona sio ajabu kama bado hawajalifanyia kazi hili direct basi indirectly utakuwa unailipia...
 
Nikazie tu.
Screenshot_2021-01-07-20-00-53-09.jpg
 
Hii haiwezi kuwa kweli hata kidogo. Mimi nikifanyia birthday party hapa ghetto nikamuita Mariam awe MC na wapishi ni marafiki zangu nani aje kunikamata. Shughuli hii ni ya kiuchumi kwani?

Haiwezekani serikali iwe na watu mburula kiasi hiki. Labda kwa kumbi za kukodi nitaamini lakini nyumbani, sasa si kutaongezeka na kodi ya kupika chakula au kumiliki TV.
Siku utakayotakiwa kulipa, ndiyo utajua kumbe ni kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ika sikika sauti

"wananchi tuna misoto na mashaka pesa imefichwa na kigogo mwenye madaraka, hajira hamna maisha hovyo tumechoka ku suffer na kuanzia sasa tunaingia chocho na kuanza kukaba"

Money makes the world go round
 
Ni sawa kabisa! Unakuta sherehe kwa mfano ya harusi au sendoff watu mnachangishwa kila kichwa elfu hamsini mpaka laki moja,!

Unakuta sherehe moja tu ina gharimu mpaka milioni 10.

Unakuta kwenye bajeti ya sherehe eti
Mapambo milion 1.5
Ukumbi milion 1.2
Mc na music milioni 1.8
Picha na video milioni 1.6
Vinywaji milioni 1.7
Chakuala milion 4

Na hizi ni sherehe tu za uswahilini bado za ushuani ndio balaa

Unakuta mtu ana maisha magumu lakini akipewa kadi ya mchango anajipinda mpaka ipatikane, tena wanakuwekea masharti kabisa single 80,000 double 150,000.

Tena hili suala lilialamikiwa sana humu kwama ifike hatua hawa watu walipe kodi.

Walipe tu kodi aisee.
 
Wewe ni kinara wakusifia ccm humu, leo unajifanya una uchungu, ndo madhara ya ccm kuongoza hili taifa miaka sitini with nothing new, sikuhizi Hali ya uchumi mbovu, sasa wanatesa wananchi
Hayo ni maamuzi ya kwenye halmashauri madiwani wengi ni wapya kwenye siasa za maamuzi na wakurugenzi sio wanasiasa.

Isitoshe sio kila maamuzi ya siasa yanayogusa watu moja kwa moja ni sahihi ata kama yanafanywa na CCM.
 
dah mbona hizo gharama za kodi ni ndogo sana kwa baadhi ya wahusikaa !

Ni jambo jema kwa namna moja ama nyingine kutafanya jamii kupunguza baadhi ya matukio ya sherehe na kuelekeza fedha kwenye mambo mengineyo ya kujenga familia / uwekezaji
 
Back
Top Bottom