Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

Kama mwekezaji atajenga upya miundombinu ya shule sehemu nyingine na atalipa pesa Halmashauri na kuwekeza kitu chenye tija zaidi hakuna shida..

Hata Magereza au nyumba za Wananchi huwa wanahamishwa pale inapobidi..

Hapo kinauzwa kiwanja sio shule.
Kwanini mwekezaji atake kununua shule ya umma , kaambiwa inauzwa ?
 
Kumbe ndugai alikua mkweli maana tumeanza kuuzwa kidogo kidogo

Ngoja niandae safari ya Burundi maana haikwepeki.
Unakuwa kama mgeni wa nchi kwa upigaji
Na uwizi
Uwizi upigaji ndiyo jadi yetu mzee
Upigaji uwizi utaendelea mpaka dunia ikifia mwisho labda

Ova
 
Wandugu habari,

Kwa siku hizi mbili kuna sintofahamu ya kurushiana maneno ktk Media mbalimbali, juu ya mikopo mara kuuzwa kwa shule ya kata[emoji848], kwa anayejua kiundani atiririke.
 
Wanayatekeleza kwa vitendo maagizo ya chifu Hangaya ya "mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake"
 
Jokate namzimia sana. Namuombea kwa Mungu ampe ujasiri wa kusimama dhidi ya hao wezi. Mungu atampandisha mpaka kileleni. I LOVE YOU JOKA WANGU.
 
Wandugu habari, kwa siku hz mbili kuna sintofahamu ya kurushiana maneno ktk Media mbali mbali, juu ya mikopo mara kuuzwa kwa shule ya kata[emoji848], kwa anayejua kiundani atililike.
Tulishawazoea hao haawatusumbui akili
 
Wandugu habari, kwa siku hz mbili kuna sintofahamu ya kurushiana maneno ktk Media mbali mbali, juu ya mikopo mara kuuzwa kwa shule ya kata[emoji848], kwa anayejua kiundani atililike.
Kamba zao wote zimekatika wanakuka chochote kilichoko njiani.
 
Jokate namzimia sana. Namuombea kwa Mungu ampe ujasiri wa kusimama dhidi ya hao wezi. Mungu atampandisha mpaka kileleni. I LOVE YOU JOKA WANGU.
Hamna kitu kabisa! huwezi kuwasema wajumbe wenzio wa kamati ya siasa wilaya kwa lengo la kupata sifa wakati mnaweza kuyaongea ndani ya kikao chenu! kwa sasa naona kosa kubwa la kuviua vile vyuo vya chama, upo umuhimu wa kuvirudisha na viongozi wa aina ya Jokate wakapate Msasa huko.
 
Back
Top Bottom