Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

Jokate namzimia sana. Namuombea kwa Mungu ampe ujasiri wa kusimama dhidi ya hao wezi. Mungu atampandisha mpaka kileleni. I LOVE YOU JOKA WANGU.
Sasa kupanda kileleni si mpaka afunge pingu za maisha??
 
Watanzania wenzangu tuache Roho mbaya, tuache unafiki, tuseme na njaa zetu! Tazama aibu hii inavyotutafuna! huku tunalia meya kauza Shule huku RC anasema hakuna shule iliyouzwa! Loh kidot Aibu yako hiyo na chawa zako.
FB_IMG_1645133585114.jpg
 
Back
Top Bottom