Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Feb 14, 2022 #41 johnthebaptist said: Wote wapigaji hapo! Click to expand... Inawezekana yupo aliyerefusha kamba kuzidi wenzie.
johnthebaptist said: Wote wapigaji hapo! Click to expand... Inawezekana yupo aliyerefusha kamba kuzidi wenzie.
igogondwa JF-Expert Member Joined Aug 1, 2021 Posts 2,597 Reaction score 3,373 Feb 14, 2022 #42 Kibingu said: Jokate namzimia sana. Namuombea kwa Mungu ampe ujasiri wa kusimama dhidi ya hao wezi. Mungu atampandisha mpaka kileleni. I LOVE YOU JOKA WANGU. Click to expand... Sasa kupanda kileleni si mpaka afunge pingu za maisha??
Kibingu said: Jokate namzimia sana. Namuombea kwa Mungu ampe ujasiri wa kusimama dhidi ya hao wezi. Mungu atampandisha mpaka kileleni. I LOVE YOU JOKA WANGU. Click to expand... Sasa kupanda kileleni si mpaka afunge pingu za maisha??
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 18, 2022 Thread starter #43 chinembe said: Uzi wako wa kikanjanja, umesoma shule za kata? Click to expand... Mkuu hatujawahi kukurupuka tunapoweka nyuzi humu JF , msikilize Amos Makalla sasa
chinembe said: Uzi wako wa kikanjanja, umesoma shule za kata? Click to expand... Mkuu hatujawahi kukurupuka tunapoweka nyuzi humu JF , msikilize Amos Makalla sasa
mfuga kuku JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 824 Reaction score 650 Feb 19, 2022 #44 Watanzania wenzangu tuache Roho mbaya, tuache unafiki, tuseme na njaa zetu! Tazama aibu hii inavyotutafuna! huku tunalia meya kauza Shule huku RC anasema hakuna shule iliyouzwa! Loh kidot Aibu yako hiyo na chawa zako.
Watanzania wenzangu tuache Roho mbaya, tuache unafiki, tuseme na njaa zetu! Tazama aibu hii inavyotutafuna! huku tunalia meya kauza Shule huku RC anasema hakuna shule iliyouzwa! Loh kidot Aibu yako hiyo na chawa zako.