Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Sawa mkuu no one knows!
 
Mkuu hii kitu inachanganya sana. Nimeingia Instagram account yenye jina lake na account iko verified, wame post kua kafariki[emoji53]
Tb joshua alishasemaga hana account instagram.
 
Mzee mwenzangu siongezi neno katika haya ulioandika zaidi ya kusema ameen
 
Kumbe na yeye huwa anakufa?

Alikuwa anafufua wafu na kuombea wenye matatizo na wagonjwa,

Awahi Gwajima akamfufue.
 
Mambo ya kiroho ni mapana mkuu.ukiyaangalia katika hali ya kibindamu hutaelewa
Huenda alichotamka ndo kilichofuatia spiritually
Hamna kitu, amekufa tu kama wanavyokufa watu wengine kwenye boda boda, guest, nyumbani, hospitali n.k
kwanza hawajasema kilichomuua, isije ikawa ni dawa za usiku
 
Siamini nabii wa uongo.
Wanaweza kuwa wanamtengenezea kick
Unashngaa mwezi ujao anaibuka wadai kafufuka.

Macho yake tu huwa nikiyaangalia sio mtu wa kuaminiwa
 
Nakubali.hata hivo suala la mwisho wa uhai ajuae ni Mungu pekee.hayo maneno tumeona kama kiashiria tu.na waamini ukumbuke duniani sio kwetu
Kama wakati wake ulitimia anajua Mungu.
Mi na wewe mwenyewe hatujui saa yetu
Ngoja nikae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…