Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
RIP founder of SCOAN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu no one knows!Siyo mimi ninayesema hivyo, bali aliokuwa nao kikaoni jana. Hakumaanisha nyumbani kwake, bali nyumbani mbinguni kwa kila aaminiye na kuokolewa.
Hapa duniani tupo kwa ajili ya huduma tu kwa muda mfupi. Makao yetu ni mbinguni tunakorudi baada ya huduma. Kuishi hapa duniani ni kwa ajili Kristo, kifo ni faida ya kwenda kuwa na Bwana Yesu milele!
Tb joshua alishasemaga hana account instagram.Mkuu hii kitu inachanganya sana. Nimeingia Instagram account yenye jina lake na account iko verified, wame post kua kafariki[emoji53]
Mbona mi naona yuko sawa hapo mkuu?Hii picha inaonyesha alikuwa ana shida ya afya huyu
Bwana awafariji wote, kama alilala upande wa Kristo tutaonana asubuhi ile njema
Mzee mwenzangu siongezi neno katika haya ulioandika zaidi ya kusema ameenMungu amuhifadhi anapostahili........
Kifo ni ukumbusho wa utukufu wa matendo makuu ya Mungu.....
Mwanadamu hapaswi kuishi kwa kukiogopa kifo bali anapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo( kwa wanaoamini)
Tuishi kwa wema ili tutakapo nyakuliwa waliobakia wawe mashahidi wa matendo yetu kwani hakuna ajuaye saa ya yeye kunyakuliwa.........
Kila njia ya mtu ni sawa machoni mwake mwenyewe lakini bwana hutazama mioyo......
Mungu atujaalie mwisho mwema..........
Duuh.Tb joshua alishasemaga hana account instagram.
Picha ikoje dearKumbe umeona kitu...hii picha inaongea mengi ,nilidhani nimeona vibaya
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hamna kitu, amekufa tu kama wanavyokufa watu wengine kwenye boda boda, guest, nyumbani, hospitali n.kMambo ya kiroho ni mapana mkuu.ukiyaangalia katika hali ya kibindamu hutaelewa
Huenda alichotamka ndo kilichofuatia spiritually
Nakubali.hata hivo suala la mwisho wa uhai ajuae ni Mungu pekee.hayo maneno tumeona kama kiashiria tu.na waamini ukumbuke duniani sio kwetuUko sahihi mkuu, lakini hata kama ni kiroho hiyo hoja ni dhaifu sana.
Nikupe mfano wa mtu kujitabiria kifo ni kama TB yeye angewaambia kuwa nahisi muda wa kuonana nanyi umekwisha hamtaniona tena, hapo ni kauli tata so angekufa tungesema alijitabiria kifo lakini mtu kusema tu narudi nyumbani na hapo alipo sio nyumbani kwake yupo kanisani ambako ni kazini kwake, hapo huwezi kusema kuwa alijitabiria kifo.
Mkuu hii kitu inachanganya sana. Nimeingia Instagram account yenye jina lake na account iko verified, wame post kua kafariki😕
Uko sahihi mkuu, nakubaliana na maneno yako.Nakubali.hata hivo suala la mwisho wa uhai ajuae ni Mungu pekee.hayo maneno tumeona kama kiashiria tu.na waamini ukumbuke duniani sio kwetu
Kama wakati wake ulitimia anajua Mungu.
Mi na wewe mwenyewe hatujui saa yetu
Ngoja nikae kimya