Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Siyo mimi ninayesema hivyo, bali aliokuwa nao kikaoni jana. Hakumaanisha nyumbani kwake, bali nyumbani mbinguni kwa kila aaminiye na kuokolewa.

Hapa duniani tupo kwa ajili ya huduma tu kwa muda mfupi. Makao yetu ni mbinguni tunakorudi baada ya huduma. Kuishi hapa duniani ni kwa ajili Kristo, kifo ni faida ya kwenda kuwa na Bwana Yesu milele!
Sawa mkuu no one knows!
 
Mkuu hii kitu inachanganya sana. Nimeingia Instagram account yenye jina lake na account iko verified, wame post kua kafariki[emoji53]
Tb joshua alishasemaga hana account instagram.
 
Mungu amuhifadhi anapostahili........

Kifo ni ukumbusho wa utukufu wa matendo makuu ya Mungu.....

Mwanadamu hapaswi kuishi kwa kukiogopa kifo bali anapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo( kwa wanaoamini)

Tuishi kwa wema ili tutakapo nyakuliwa waliobakia wawe mashahidi wa matendo yetu kwani hakuna ajuaye saa ya yeye kunyakuliwa.........

Kila njia ya mtu ni sawa machoni mwake mwenyewe lakini bwana hutazama mioyo......

Mungu atujaalie mwisho mwema..........
Mzee mwenzangu siongezi neno katika haya ulioandika zaidi ya kusema ameen
 
Kumbe na yeye huwa anakufa?

Alikuwa anafufua wafu na kuombea wenye matatizo na wagonjwa,

Awahi Gwajima akamfufue.
 
Mambo ya kiroho ni mapana mkuu.ukiyaangalia katika hali ya kibindamu hutaelewa
Huenda alichotamka ndo kilichofuatia spiritually
Hamna kitu, amekufa tu kama wanavyokufa watu wengine kwenye boda boda, guest, nyumbani, hospitali n.k
kwanza hawajasema kilichomuua, isije ikawa ni dawa za usiku
 
Siamini nabii wa uongo.
Wanaweza kuwa wanamtengenezea kick
Unashngaa mwezi ujao anaibuka wadai kafufuka.

Macho yake tu huwa nikiyaangalia sio mtu wa kuaminiwa
 
Uko sahihi mkuu, lakini hata kama ni kiroho hiyo hoja ni dhaifu sana.
Nikupe mfano wa mtu kujitabiria kifo ni kama TB yeye angewaambia kuwa nahisi muda wa kuonana nanyi umekwisha hamtaniona tena, hapo ni kauli tata so angekufa tungesema alijitabiria kifo lakini mtu kusema tu narudi nyumbani na hapo alipo sio nyumbani kwake yupo kanisani ambako ni kazini kwake, hapo huwezi kusema kuwa alijitabiria kifo.
Nakubali.hata hivo suala la mwisho wa uhai ajuae ni Mungu pekee.hayo maneno tumeona kama kiashiria tu.na waamini ukumbuke duniani sio kwetu
Kama wakati wake ulitimia anajua Mungu.
Mi na wewe mwenyewe hatujui saa yetu
Ngoja nikae kimya
 
Tb joshua alishasemaga hana account instagram.

Screenshot_20210606-104359_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom