Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

Ni kampuni gani zile kwanza zinaonekana ni low end

Kwa kijijini nasikia walinunua na powerbank pia


Powerbank nzuri si chini ya 60k yenye uwezo hadi laki kwa hapa bongo
 
Manina laki 9..? Mzigo laki mbili na 65 ingia alibaba kwa hizo specification zake... tena oda kuanzia 30..sasa kwa hao walioagiza laki mbili bei inaweza pungua..

Kifupi vinalala majumbani mwetu we chukua model number zake ingia mtandaoni utajua bei zake..
Labda waje na sound zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…