Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
Sasa huoni walamba asali wanavyotafuna kodi zako!!Huo msharala wako mimi nakatwa kodi karibia 800k kila mwezi kwenye biashara zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huoni walamba asali wanavyotafuna kodi zako!!Huo msharala wako mimi nakatwa kodi karibia 800k kila mwezi kwenye biashara zangu
Na zoezi la sensa wameongeza wiki wakati wanasema walokwisha hesabiwa ni asimilia 93 hili zoezi Kuna upigaji mkubwa sana
Nasikia wanapewa walimuSwali : Baada ya sensa kuisha vinapelekwa wapi?
wachezee au watumie kufanyia nini? walimu wa shule zipi?Nasikia wanapewa walimu
Ni machungu sana maana ninaemlipa mimi ndio anaendelea kuwa vzr na ana uhakika wa pesa yake kila mwezi, mimi huku kuna hasara nkSasa huoni walamba asali wanavyotafuna kodi zako!!
Huo msharala wako mimi nakatwa kodi karibia 800k kila mwezi kwenye biashara zangu
Kwa upigaji huu ndio maana tozo inaongezwa na haieleweki inafanya kazi ganiHii ilikuwa SENSAKWIBA sio SENSABIKA kama walivyokuwa wanajinadi😂😂😂
Kwa ufanyaji kazi ule data zimepikwa vilivyo, questionnaire imejaa maswali ya kijinga tuKwa upigaji huu ndio maana tozo inaongezwa na haieleweki inafanya kazi gani
We fikilia siku 7 wameweza kuhesabu watu asilimia 93 alafu zinaongezwa siku 7 sababu ya kumaliza asulimia chini ya kumi
Ni mwendo wa urefu wa kamba
Mtatufanya nini sisi walamba asaliSawa muhimu watuonyeshe gharama za kile kitu kama ni chini ya 200K tutakubali ila juu ya hapo na kinatumika mara moja tu ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Ni kisanga mzee watu washapiga pesa kirahisi yaniKwa ufanyaji kazi ule data zimepikwa vilivyo, questionnaire imejaa maswali ya kijinga tu
Umeanza kuutafuta ugomvi?Ngoja tuone.😂😂😂😂Tunataka tuwekewe hadharani mchakato mzima wa upatikanaji wa vishkwambi vya sensa.
Kuna jambo hapa nimehisi.
Hakuna kitu tunaweza wafanya na tukileta mdomo mnaweza kutuambia sisi sio raia wa Tanzania 😂😂Mtatufanya nini sisi walamba asali
Wewe ni muhaya mpumbavuUtalalalamika Hadi lini? Yaani 100k ndo unakufanya hukose amani?
Mda mwingine ficha uchi wa akili yako,yaani mtu anahoji matumizi ya kodi yake afu unakurupuka toka ndani ndani uko na kucoment utumbo [emoji1745]Hivyo kishikwambi vinakuhusu Nini?
Unashangaza kweli unaona ajabu jamaa kulalamika makato ya 100k huku kilio kikubwa Cha watanzania sahv ni tozo? Vp Kila mtanzania akidharau laki1 nn kitatokea? Hauko serious!Utalalalamika Hadi lini? Yaani 100k ndo unakufanya hukose amani?
Kila karani anabaki nachowachezee au watumie kufanyia nini? walimu wa shule zipi?
mchakato huo umekaaje kwenye ugawaji wa hivyo vikitu?
Hivyo kishikwambi vinakuhusu Nini?