Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

Ni kampuni gani zile kwanza zinaonekana ni low end

Kwa kijijini nasikia walinunua na powerbank pia


Powerbank nzuri si chini ya 60k yenye uwezo hadi laki kwa hapa bongo
Jamani hebu kusanyeni huu ushahidi , tutafute maofisa wa sensa kama watano tu watatusaidia sana
 
Tunataka tuwekewe hadharani mchakato mzima wa upatikanaji wa vishkwambi vya sensa.

Kuna jambo hapa nimehisi.
Vishikwambi vilivyotumika kwenye sensa hii havikununuliwa kwa pesa ya Nchi ni msaada kutoka Korea.
 
Vishikwambi vilivyotumika kwenye sensa hii havikununuliwa kwa pesa ya Nchi ni msaada kutoka Korea.
Hoja ya mtoa post haina mashiko, Ila pia na wewe huna mashiko.

Vishkwambi vimenunuliwa, vya msaada vilikua 600 tu. Lakini pia sio kila kinachonunuliwa lazima kiwe na tender
 
kuna ushahidi usio na shaka juu ya hili ili tufunge mjadala ?
BED36FA1-EC22-49D6-B2A7-21F78493B84F.png
 
Aliyeleta mada hana hoja, na wewe pia huna unachojua.

Vishkwambi vya msaada ni 600 tu. Vilivyonunuliwa ni zaidi ya 200000+. Sio kila kitu lazima kiwe na tender.

Sensa ni mpango wa taifa, sensa ni usalama wa taifa pia. Hakukua na haja ya kutangaza tender.

Nb; Hakuna upigai wowote
Nani asie jua hilo ? Nikisema tumepewa shida ipo wapi ? na ukisema vingine vilinunuliwa shida iko wapi ?
 
Back
Top Bottom