Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

Sasa huoni walamba asali wanavyotafuna kodi zako!!
Ni machungu sana maana ninaemlipa mimi ndio anaendelea kuwa vzr na ana uhakika wa pesa yake kila mwezi, mimi huku kuna hasara nk

Hapo hapo nikiwa kwenye mishe zangu kuna mda nazuiwa kupita sehemu kisa kuna msafara wa huyo ninaemlipa mimi anenda kuhutupia sehemu ama kuzindua mradi ambao gharama zake (gharama za huo mradi) ni ndogo kuliko gharama za huo msafara wake

Inatia uchungu sana aiseeee
 
Hii ilikuwa SENSAKWIBA sio SENSABIKA kama walivyokuwa wanajinadi😂😂😂
Kwa upigaji huu ndio maana tozo inaongezwa na haieleweki inafanya kazi gani
We fikilia siku 7 wameweza kuhesabu watu asilimia 93 alafu zinaongezwa siku 7 sababu ya kumaliza asulimia chini ya kumi
Ni mwendo wa urefu wa kamba
 
Kwa ufanyaji kazi ule data zimepikwa vilivyo, questionnaire imejaa maswali ya kijinga tu
 
Kuna watu wanasema kuwa hivyo vidude vilitolewa na serikali ya korea.

Nakumbuka taarifa ilisema,korea wametoa vidude 600, na aliyevipokea ni Waziri Mkuu,ila mahitaji halisi ilikuwa ni zaidi ya laki 2
 
Utalalalamika Hadi lini? Yaani 100k ndo unakufanya hukose amani?
Unashangaza kweli unaona ajabu jamaa kulalamika makato ya 100k huku kilio kikubwa Cha watanzania sahv ni tozo? Vp Kila mtanzania akidharau laki1 nn kitatokea? Hauko serious!
 
Back
Top Bottom