Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Kuna mambo ya kawaida ila ukiyafikiria kwa akili ni ya ajabu sana.
Mfano 1:
Tendo la ndoa linachekesha sana, yan watu wazima wawil wameamua kugandana, sometimes uchi. Yan utafikiri wanga vile....😅

Mfano 2:
Tendo la kuoga, yan mtu mzima umejifungia ndani bafuni bila nguo, unaanza kujimwagua maji na kujishika shika kujiparaza 😂
 
Na hata hiyo 2% ukiichunguza utagundua Kuna sababu aidha ugonjwa, stress au mwanaume kashajikatia tamaa kwa maana ya Kila akitaka tendo kwa mkewe ananyimwa kwahiyo inafika wakati anaamua kukaa kimya, kwa aidha kuchepuka au kunyetuka
Mara kibao watu tunatoka kucheza mechi za kirafiki lakini nyumbani napo unaanza uchokozi mpira uwekwe kati.
 
Wanajamii huwa wanakataa ile kitu inaitwa "kupendana" na wanafocus katika vitu kama kazi, kipato, uwezo wa kujenga nyumba na kumiliki mali. Ila wanasahau kinachocomtroll mtu na maamuzi yake ni akili yake.

Akili ikishapata kile imetaka huwa inarejea moyo na kutaka kile nafsi inahitaji.

Huwezi fanya mahaba na mtu ambaye ulimtaka tu kwaajiri ya kujenga nyumba nzuri, kupata kazi, kupata watoto, kukusapoti biashara, yaani sio kwa yale mapenzi ya msisiko.

Kuna watu waliachana watu waliowapenda kwa dhati ile tokea moyoni kupita maelezo na walikuwa tayari kwa lolote ingawa ni dini tofauti, hali ya kiuchumi hawalingani, hawana malengo, etc sababu ambazo kimsingi ukizipa muda huwa zinapungua nguvu na kutokuwa na uzito tena na ndipo moyo unaanza kuhoji, umepata nyumba, gari, watoto, kazi /biashara, upo wapi upendo? Fulani alikupa msisimko na hata sasa ukimkumbuka unapata hisia nzito juu yake, kwann uliamua kuachana nae na unampenda sana?

Ndoa tunafunga kufurahisha wazazi na ndugu zetu, nyumba ya kuishi hata tukiikosa leo tunaweza jenga muda mwingine sio lazima iwe leo hii tunapotaka sisi, magari, biashara, pesa na mali vinatafutwa, tukiwa na subira tutavipata. Ila upendo wa hisia nzito ule wa "it might be you" huwa unakuja mara moja tu, huwezi tena pata popote, ukishaondoka unaishi na gepu la upweke maisha yako yote hadi uzee na majuto yake ni mazito kuliko chochote.

Usione hadi watu wanauwana na kufanyiana ukatili zile ni hasira za upweke na kukosa mrejesho wa ule upendo ule waliotegemea. Ukimpata ambaye mtaclick komaa nae hadi kieleweke, maisha huwa yanatupa mitihani ya muda tu sio milele, ukisema unataka penzi la kweli, MUNGU anakupa mtu asiyeeleweka ukiprove unaweza mpenda na ukawa imara utashangaa reward yake anakuja kaa sawa baadae na anabadilika na kuwa vile ulitamani awe, trust me mradi asikusaliti tu na kupenda mwingine.

Ukipata mali, nyumba, magari, pesa, na vingine, then what's new coming from them? [emoji23]

But ukipendana na unayempenda ni hadi uzeeni you only exchange vibes, loneliness inakuwa the myth.
 
Umeongea kuonyesha wanawake ndio mara zote ukataa kutoa utamu
Wakati naamini kuna wanaume pia wanawabania wake zao wakisingizia wamechoka

Lawama zote kwa mwanamke[emoji777]
Kwenye hili usitetee dada, takwimu hazidanganyi. Mwanaume akisema kachoka ni kachoka kweli ila kama hataki kufanya na mwanamke aliyenae hata iweje hatofanya maana hana hisia nae na haitasimama vizuri.

Ndio maana wanaume mke akicheat tunaacha hatuwezi ishi nae tena kwasababu hatuwezi kuwa na hisia za msisimko nae tena kama vile awali wakati tunaanza.
 
Sasa ndoa bila tendo kuna maana gani?

Ni wanyama peke yake ndio wanaingiliana kwa sababu ya kuzaliana, lakini binadamu mke na mume lazima mpeane tendo la ndoa na inaongeza bond yenu na furaha ndani ya nyumba.
Ngoja aingie ndio ataelewa. [emoji23][emoji23][emoji23] Ukikaa na mtu hamfanyiani chochote zaidi ya mwezi lazima umuone kero unatamani umwambie akalale kwa watoto au wewe ulale sebuleni au sehemu nyingine.
 
Naomba jibu la post #56
 


Moisemusajiografii ,iwe tu kwamba jukwaa la watu wazima lilizikwa,hili na lo lilikuwa jambo la kuongelea pale. Maana utani mwingi ni wa wasiojielewa au waioelewa taasisi hiyo.
Bila kuchomekeana vikojoleo,watu wanaojiita wana ndoa,watakuwa wa kazi gani? Kwani ndoa ni nini? Kama ilivyo kwa chakula kuwa na viungo mbali mbali,basi hata ndoa bila kudinyana haiwezi kudumu.
 
Naam!Ndoa yafaa nini basi bila kudinyana?
 
Kweli kabisa unachoongea na ningependa kuongezea

Kuna vitu vinaweza endelea ndani ya ndoa ambavyo vinawashikilia wote wawili washindwe kuachana. Achilia mbali na shelia za dini, au kuwa na watoto. Kuna issue za mali na umiliki vinaweza vikawa vikwazo.
 
Siku hizi ni msemo ule wa kunguru hafugiki. Zamani wanafundwa na mashangazi wenye heshima na hekima. Mtu anatoka ameshaelezwa mbinu za kumshikilia mme.
Leo hii,mashangingi wasio na stara ya mwili na mdomo,wacheza vigodolo, ndo wa kufunda. Huyo mtoto atafundika? Walifundwa,waliokulia mazingira ya nyumbani na malezi. Leo lijitu limezunguuka nchi nzima,limetembea na kila aina ya mwanaume,litafundika hilo?
 
Tungekuwa tunakuwa na honest conversation kama hizi ingesaidia sana kuelewana sana na kuwa na mbinu za maana za kutatua kero ambazo hazina majibu.

Wengi huwa hawajui kuwa sio kila linakosewa huwa inakuwa ni makusudi. Kuna mambo huwa yanatokea kama matokeo ya kutojua nini cha kufanya next na kushindwa kumshirikisha mwenza maana hayupo katika mkao wa uelewa au kuwa positive na wewe.

Unamwambia mwanamke wife umejiachia sana mwili na mimi napenda vile ukiwa na mwili wako ule wa siku zote. Mwenzako anachukulia umesema toka umezaa watoto umebadilika maumbile umekuwa kama mzee sikutaki tena.
 
Kama mke anakataa basi tatizo lipo kwako umkuni vizuri/ hasikii raha
Tokea lini mtu akakataa kusikia raha?
Acha utoto. Tofautisha kuchomeka na kufanya tendo. Hata huyo mwanamke,tusilalie upande mmoja. Ukimuudhi na kutaka kuweka,kisaikolojia hayuko fit,unadhani utapata ushilikiano gani? Sasa,alale kifo cha yule mdudu,chomeka,kimoyomoyo anasema: hili nalo limalize tu litoke. We mwanaume unadhani utajiina unajua kukuna? Kwa kifupi,kwanza mahusiano ya wanaokaa wawili,hata ukimuweka dakika 2 ataridhika. Ila kama hamko vizuri,hata ulete ukoo mzima mmkune,kazi bure.

Wenye ndoa ni wachache tu. Wengine ni wa kuwatesa wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…