Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Mojawapo ya kikwazo ni pale mwanamke anapokuwa ana experience kujamiiana badala ya kufanya mapenzi toka kwa the so called mume wake.

That's one of the important skills package kwa mtoto wa kiume kujifunza ni kuwa romantic na mbunifu. Kuanzia majina unayompa mwanamke wako kama a.k.a's mfano teddy bear, mama bear, honey, acha kutumia majina yaliyozoeleka tumia ubunifu kupata jina la kumfanya ajione special kila unapomwita na ni wewe pekee ndie unayemwita kwa hilo jina. Hapa ukiandika gazeti la mahaba siku ya birthday yake ukaweka status, ukamalizia na hiyo a.k.a anajua huyu ni mimi hakuna mwingine.

Sasa unamwita baby, honey, asali how special is that? Hayo majina waachie wazee wa miaka 70 huko.

Kuwa na special days za kumsuprise na ile sex ya ugwadu. Ambayo ukimkamata ni mwendo wa kumkausha maji tu mwilini hadi ukimuachia hapo ni miguu inatetemeka na analala hoi asubuhi anakuta chai umemuandalia bonge la breakfast. Usifanye hivi kwaajiri yake, fanya hivi kwasababu wewe ni romantic kwa mwanamke yoyote yule. Hii ndio huwa ina mfanya hata akienda gongwa nje roho imsute na akuhofie kukupoteza.

Kuwa romantic haiishi wakati wa kutongoza tu, ni zoezi endelevu na unatakiwa kujua umechagua mke wa kariba gani ili ujue how to be romantic. Mimi napambana na chotara wa kichagga hapa, nampelekea moto wa mahaba mwezi wa kumi na mbili familia yake ipo Moshi yeye yupo Dar hana hata time anajumuika nao kwa simu tu.

You have to own her mind, thinking, predict her next move, thought, want, desire, demand, need, feeling, choice. Its easy when you invest a little time to be creative and do what you want to her, narudia kufanya unachotaka kwake sio anachotaka umfanyie. Ukifanya anachotaka anaweza kuwa anakuelekeza kumfanyia alichofanyiwa na X wake au alichokiona kwenye movie and nothing creative about that sababu tayari anajua unachotaka mfanyia. Do you to her. Akikataa rudia tena this time perfect it to make it even more better.

Its hard,tiring and exhausting sometimes ikiwa unalenga kumfurahisha yeye tu ili akupende. But its easy, romantaining, energizing, addicting, driving wild, youthful, spiritualizing, effective, and a bonding thing if ukifanya sababu yako wewe kuwa ndivyo ulivyo, thats how you make it work for the two, when she's bored you got the energy when she's horny you got the bone and the energy to quench her thirst for romance.

Upgrade your game. Don't fight with her, fuk with her.


Dedication kwako brother, artist "Joe Thomas" his song called "More and More" listen to the words.
 
kataa ndoa inavozidi kushika kasi kama ushuzi wa mayai ya jana
 
Sasa kama hamjaweka mazingira mazuri ya kuzagamua mnadhani kuna kitakacholika? Hapa mwanamke anatakiwa aandaliwe mapema kihisia. Wakati wa mechi inatakiwa akojozwe. Sasa wewe mwanaume unaleta mazoea ndoani lazima ukutane na upinzani. Mke ni kama mwezi. Anasharabu. Ni kama kinyonga. Cheza na mazingira na yeye atapita humo humo na rangi zake kwa kadiri ya mazingira unayoyajenga
 
Hili gazeti lote kuna unachomzidi Dr Mwaka?

Tena mwenzako hadi shida zao za homoni anawatibu na haijamsaidia kitu.
 
Mm kuna kamoja ako kananiita romeo jamniii lazima ulegee😂
 
Sawa lakini elewa kwamba wanawake wa ndoa ni wavivu sana kwenye fani hiyo ndio maana wanaume wengi hutafuta dogodogo wanaojituma ipasavyo.
Hata hao wanaojituma wakiwekwa ndani nao wataanza kutoa Kwa mgao.
Nadhani issue ni kiwe na jando na unyago wa kisasa.....watu wafundishwe saikolojia za jinsia nyingine......mfano Mimi tangia nilipojifunza kuwa Kwa mwanaume sex ni Kama mafuta kwenye gari na Kwa mwanamke ni Kama maji kwenye rejeta (Dr Mauki), wala sina ugomvi na mtu, akiomba nampa......gari bila mafuta litaendaje?

Mafunzo muhimu, watu wafundishwe.
 
Ukishakuwa na level za uelewa kiasi hiki basi mwanaume akizinguwa ukisikiaga kuna radhi ya mke ni lazima impate.

Maana nyumba nyingi sasa hivi ni uwanja wa mashindano.

 
la mgambo likilia ujue kuna jambo pole sana mlumbi
 
Sote tuoe kama waislamu. Mke mmoja anachosha aisee!
Hiki ni kipindi cha mpito tu, lakini huko mbele ya safari wanawake watawabembeleza wanaume wawaowe na watajihudumia wenyewe ili wawastiri.

Kwa sasa tupo kwenye kizazi ambacho wanawake wengi wanashindana na nature, ni swala la muda tu nature itawashinda na watarudi kwenye mstari kama ulivyo mpango wa mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…