Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Huku ni kujificha kwenye ugaidi wenyewe !! Kila wasomali wakivurugana wanakimbilia Kenya kufanya vurugu. Watulie wajenge nchi yao. Na kama ni ugaidi waufanyie kwao. Pengine wao wanaelewa maana yake.WANA
Wanao jiita magaidi na wale wanao sema wanawapiga magaidi (nchi za magharibi na vibaraka wao) wote lao ni moja, victim ni mimi na wewe bila kujali dini ...
Kwa maneno mengine umekubali ni magaidi lakini wametumia tactics tofauti. Ni lazima utambue haya matukio ya ugaidi sisi na Kenya tulianza kupata kwa pamoja mwaka 98 lakini maamuzi yetu kama nchi na vyombo vya usalama ndiyo inafanya Kenya hadi leo inapata mashambulizi makubwa na sisi tunajaribu kuyatuliza usidhani imetokea tu.mrc huko mombasa walishindwa pia wailkuwa kama hao wa amboni na kibiti. hii style kama ya urban guerillas ni mbaya,wana attack miji mikubwa sehemu busy wanakimbia,hawana base maalumu sio formal war,unadhani ufaransa haswa jiji la paris wanavyoshambuliwa kwa style hii mara kwa mara tumewashinda uwezo wa kivita siyo?
Mungu awalinde na kuwajalia watoke salama wote!Lets pray for this brother to be safe. I cant imagine being in that situation, very terrifying, Mungu umpe wepesi atoke salama
Ameen [emoji120] [emoji120] [emoji120]Lets pray for this brother to be safe. I cant imagine being in that situation, very terrifying, Mungu umpe wepesi atoke salama
Napenda niwasahuri wakenya kuwa makini na hao magaidi. Wameshachanganyikana na wateja wa eneo hilo. Wanachoweza kufanya ni kutega milipuko sehemu nyingine na kujificha sehemu nyingine hivyo mtawaokoa bila ninyi kujua. Hii huwa inawatesa sana intelligensia ya kenya katika kutambua nani ni gaidi na nani si gaidi. Poleni sana majirani zetu.
boss,kenya wanapigwa sababu al shabab wanataka waondoe majeshi yao somalia,Uganda nao walichapwa mabomu ya kutosha kampala wakaondoa majeshi leo hakuna mashambulizi,hivi nikupe mfano,angalia tamasha kama fiesta au mechi ya mpira uwanjani ushaona metal detectors zinazoweza kugundua kama mtu kaweka bomu heavy kwenye buti ya gari?unajua ni rahisi kiasi gani kufanya shambulizi la hivyo?wana attack hivyo wanaua mamia ya watu wanasepa,hujui hata base yao,hawana ma tank wala chochote,ni hatari mno,tusiombee .london,paris,berlin,boston washapigwa sanaa mashambulizi ya aina hii,tusipende kujisifu sana kupitiliza jamani,atleast hapa wa kumshukuru ni kikwete aliombwa na UN apeleke majeshi somalia akakataa leo pasingekuwa panakalika hapa nakuhakkishia,hata ukileta wanajeshi macommando wenzako wale hawaoni tabu kujilipua na mabomu kumaliza kabisaKwa maneno mengine umekubali ni magaidi lakini wametumia tactics tofauti. Ni lazima utambue haya matukio ya ugaidi sisi na Kenya tulianza kupata kwa pamoja mwaka 98 lakini maamuzi yetu kama nchi na vyombo vya usalama ndiyo inafanya Kenya hadi leo inapata mashambulizi makubwa na sisi tunajaribu kuyatuliza usidhani imetokea tu.