Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

WANA

Wanao jiita magaidi na wale wanao sema wanawapiga magaidi (nchi za magharibi na vibaraka wao) wote lao ni moja, victim ni mimi na wewe bila kujali dini ...
Huku ni kujificha kwenye ugaidi wenyewe !! Kila wasomali wakivurugana wanakimbilia Kenya kufanya vurugu. Watulie wajenge nchi yao. Na kama ni ugaidi waufanyie kwao. Pengine wao wanaelewa maana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrc huko mombasa walishindwa pia wailkuwa kama hao wa amboni na kibiti. hii style kama ya urban guerillas ni mbaya,wana attack miji mikubwa sehemu busy wanakimbia,hawana base maalumu sio formal war,unadhani ufaransa haswa jiji la paris wanavyoshambuliwa kwa style hii mara kwa mara tumewashinda uwezo wa kivita siyo?
Kwa maneno mengine umekubali ni magaidi lakini wametumia tactics tofauti. Ni lazima utambue haya matukio ya ugaidi sisi na Kenya tulianza kupata kwa pamoja mwaka 98 lakini maamuzi yetu kama nchi na vyombo vya usalama ndiyo inafanya Kenya hadi leo inapata mashambulizi makubwa na sisi tunajaribu kuyatuliza usidhani imetokea tu.
 
US and Mossad Manipulations... Nilishangaa sana kuona Jiran zetu wamekabidhi ulinzi wao kwa kuwaamini wa Israel tokea tukio la Wastgate Kenya waliamua kukabidhi ulinzi wao kwa Mossad wakiamini ni kila kitu Mbaya zaidi kuna Mkenya mmoja alianzisha thread umu akipongeza US kupanua Military Base uko Kenya japo alipingwa na Wakenya Wenzake....Labda mjue tu Sehemu yoyote Dunia US akishajiingiza basi tegemea manipulation km hizi kwenye suala zima La Usalama...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo magaidi yanataka nini hapo kenya!!! Poleni sana ndg zetu.
 
Kuna vikosi vingi sana hapo hadi wazungu nmeona wameshika m16 sasa sijajua how do they coordinate themselves.. Wasije dunguana wenyewe kwa wenyewe kama westgate
 
Ile ya westgate mpaka leo magaidi hawajulikani, halafu zile za polisi kuiba kwenye supermarket, mwisho wa siku hata hawakuwakamata magaidi. Kenya matukio haya huwa yanawaacha hoi. Intelligence zero.
 
Napenda niwasahuri wakenya kuwa makini na hao magaidi. Wameshachanganyikana na wateja wa eneo hilo. Wanachoweza kufanya ni kutega milipuko sehemu nyingine na kujificha sehemu nyingine hivyo mtawaokoa bila ninyi kujua. Hii huwa inawatesa sana intelligensia ya kenya katika kutambua nani ni gaidi na nani si gaidi. Poleni sana majirani zetu.

Kama shambulizi lililopita vile la westgate
 
Kwa maneno mengine umekubali ni magaidi lakini wametumia tactics tofauti. Ni lazima utambue haya matukio ya ugaidi sisi na Kenya tulianza kupata kwa pamoja mwaka 98 lakini maamuzi yetu kama nchi na vyombo vya usalama ndiyo inafanya Kenya hadi leo inapata mashambulizi makubwa na sisi tunajaribu kuyatuliza usidhani imetokea tu.
boss,kenya wanapigwa sababu al shabab wanataka waondoe majeshi yao somalia,Uganda nao walichapwa mabomu ya kutosha kampala wakaondoa majeshi leo hakuna mashambulizi,hivi nikupe mfano,angalia tamasha kama fiesta au mechi ya mpira uwanjani ushaona metal detectors zinazoweza kugundua kama mtu kaweka bomu heavy kwenye buti ya gari?unajua ni rahisi kiasi gani kufanya shambulizi la hivyo?wana attack hivyo wanaua mamia ya watu wanasepa,hujui hata base yao,hawana ma tank wala chochote,ni hatari mno,tusiombee .london,paris,berlin,boston washapigwa sanaa mashambulizi ya aina hii,tusipende kujisifu sana kupitiliza jamani,atleast hapa wa kumshukuru ni kikwete aliombwa na UN apeleke majeshi somalia akakataa leo pasingekuwa panakalika hapa nakuhakkishia,hata ukileta wanajeshi macommando wenzako wale hawaoni tabu kujilipua na mabomu kumaliza kabisa
 
Back
Top Bottom