Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Duh!! Huyo jamaa ameula!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndiye anayetakiwa kukamatwa na kuhojiwa
 
Kati ya kitu wenye brains so far wameshindwa ku-detect ni tetemeko kabla halitokea. Taarifa hutolewa limeshatokea na kuleta madhara ila sio kabla! Mungu ajalie akatuzalishie kizazi chenye akili hizo waje na solution.
Angalau vimbunga vina tambulika mapema mnachukua tahadhari mapema.

Ila kwenye tetemeko sijui mungu aliamuwa kutificha nn.
 
Hii ni vita ya kiuchumi

Marekani na washirika wake hawa kulidhika na kuharibu maandiko matakatifu sasa wametuma tetemeko
Usiingize siasa kwenye majanga ya aina yoyote mfano hili, kufanya hivyo ni sawa na ugaidi. Yaani kutumia vitisho vya maafa kwa marengo ya kisiasa. Acha kabisa na usirudie tena! Hata kama ni utani hapa si mahala pake
 
Mkuu usiwe serious sana na memba wa jf. Hiki ni kijiwe cha mtandaoni unayoyaona humu watu hawalingani nayo huko mitaana it is complete opposite.
 
Kati ya kitu wenye brains so far wameshindwa ku-detect ni tetemeko kabla halitokea. Taarifa hutolewa limeshatokea na kuleta madhara ila sio kabla! Mungu ajalie akatuzalishie kizazi chenye akili hizo waje na solution.
Yeah huwa wanabashiri kuhusu after shocks tu, na after shocks ndio mbaya
 
Nimefatilia aiseee imebidi nimfollow.

Hawa ndo watafiti haswa
 
Kwanini walipuuzia sasa?
 
Wakamchukulia poa km alikua anataka kuichoma Moto 🔥 Qur'an vile yaan kumbe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…