Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Sasa mm nilikua nimekaa miguu nimeweka juu ya meza sekeseke likaaanza
 
Asubuhi ndio mkiamka muangalie nyufa(kama nyumba hizi za Dar zilivyojengwa kienyeji). Huenda nyufa za hapa na pale zikaonekana, nililihisi pia nikataka kukimbia kuwabeba watoto nje, ghafla mtetemo ukakata.
 
Hili tetemeko ni dalili tosha kuwa Tanzania chini ya jemedari Dr. John Joseph Magufuli, sasa Tanzania imeingia kwenye uchumi wa kati, na ccm hapo Oct itaenda kushinda kwa ushindi wa kishindo.. Viva Magufuli
Kweli wewe jambazi [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Niko Zanzibar nilikuwa nakula na wife, yeye alikuwa amekaa chini kaegemea ukuta akaniambia "nahisi nasukumwa" mm nikamtania " itakuwa unataka kupandisha mashetani" dk chache nacheki taarifa ya habar ITV nakuta wanatangaza
 
Hv mkuu huo ujasiri wa kukaa ndani unautoa wap??halafu hapa kwetu limepita mara 2 ndan ya sekunde chache
basi wewe kichwa chako kiko fasta sana, kitu cha sekunde chache umweza kutafsiri ninini na kuzima jiko na kukimbia ndani ya sekunde chache hizo hizo, hongera aisee!!
 
Back
Top Bottom