Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Mzee Mgaya akiwa Moshi mkoani Kilimanjaro amenipigia simu na kunikumbusha kuwa enzi zetu tetemeko hili la ardhi lingetafsiriwa kama kishindo kikuu katika uchaguzi mkuu ujao.

Mgaya ananiambia wagombea ubunge wa CCM ambao bado wako kwenye mchujo muda huu wangekuwa wanakimbizana kwa waganga wa mitishamba kupiga ramli.

Nimecheka sana hasa ukizingatia leo ni siku ya vijana

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
 
Mmesahau fekero zenu mnafunguka tu sehemu mlizopo kikikikiii...
Tukutane October 29 30
 
Hahahaha CCM wamesahau kidogo kuhusu Lissu
 

Attachments

  • IMG-20200812-WA0105.jpg
    IMG-20200812-WA0105.jpg
    22.8 KB · Views: 1
  • IMG-20200812-WA0102.jpg
    IMG-20200812-WA0102.jpg
    52.3 KB · Views: 1
  • IMG-20200812-WA0101.jpg
    IMG-20200812-WA0101.jpg
    31.9 KB · Views: 1
  • IMG-20200812-WA0100.jpg
    IMG-20200812-WA0100.jpg
    15.9 KB · Views: 1
  • IMG-20200812-WA0098.jpg
    IMG-20200812-WA0098.jpg
    19.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom