Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
200m ndogo? jamani hivi kukaa mwezi ukabuni kitu ukapata return ya 200m useme imekula kwako? mbona mi nadhani ni super profit! au kwa kuwa sina?
Huu ni Ujinga na umaskini wa kipato na akili, Diamond ni Mtanzania, Ruge ni Mtanzania hata kama Zari sio mtanzania lakini kila kitu kimefanyika Tanzania watanzania wenyewe.Kwa hiyo wote walioenda kwa zari jana walinunuliwa na ruge ebwanaee hatari,yaani promo lote lile kaambulia mil.200? Hatari mond na zari inabidi waandamane kwani huu ni ufisadi mwingine. Ila ruge anajua sana
Ile party hata milioni mia nne haikuingiza! Hizo data zako sijui umeota wapi!!!
Wewe Mbwiga zako umezitoa wapi?
Kutokana na taarifa ya Babu Tale jana akihojiwa na Millardi Ayo. Alisema kuwa ticket za Milioni 3 zilikuwa 10 tu na ziliisha masaa matatu toka zimetangazwa.
Toa sababu zako kwanini unasema ni uongo?
Weka facts mezani sio blah blah.
ruge kabeba mkwanja wote,mtajibeba
Du waliotoa M3 watakuwa wamerogwa na nani? Shetani mweupe kawapitia, Angalau achukue Ten m, amsopu sopu baba yake eheee!!!
woowoooo hoyaaaa kiko wapi kumbe changa nilijua tu hakuna kitu pale hoyaaaaaa.kimenuka kumbe mashauzi yote yale wamelamba milion 200 tu nyingine wamewapatia wazee wa jiji chezea bongo na zari ujue uku ndio bongo,POLE SANA ZARI JAMANII. na hii ishu ni kweli tupu mi pia nimeipata yote. KIKO WAPI? MTAJIBEBA
Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.