Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

200m ndogo? jamani hivi kukaa mwezi ukabuni kitu ukapata return ya 200m useme imekula kwako? mbona mi nadhani ni super profit! au kwa kuwa sina?

Upo sawa m200 sio kidogo,ukizingatia kuna gharama za ukumbi,matangazo,vinywaji and the like huyo Ruge hajafaidi kihivyo hao akina Zari wamepiga hela nzuri tu
 
Kwa hiyo wote walioenda kwa zari jana walinunuliwa na ruge ebwanaee hatari,yaani promo lote lile kaambulia mil.200? Hatari mond na zari inabidi waandamane kwani huu ni ufisadi mwingine. Ila ruge anajua sana
Huu ni Ujinga na umaskini wa kipato na akili, Diamond ni Mtanzania, Ruge ni Mtanzania hata kama Zari sio mtanzania lakini kila kitu kimefanyika Tanzania watanzania wenyewe.

Mi nilitegemea mngesema Zari ameingia hassara kwenye hiyo show, kumbe kuondoka na mpunga wa maana.

Hizi chuki sana sana zinatolewa na team mama Ubaya na yule aliejitangaza ameibiwa kila kitu kumbe ni kutafuta Kiki tu.

Mwacheni Zari hata kama amedalaliwa kwenye hiyo show, kwa kufanikisha tu show ya mamilioni kama hiyo ni jambo la sifa.

Na mkae mkijua Zari ni mjasiriamali na ni tajiri wa kutupwa na anajua anachokifany.

Tuache wivu wa kijinga kwenye maisha ya watu.

Tanzania kuna fursa kibao za kutoka kimaisha tatizo tumekalia majungu tu na wivu wa kike.

Asante Diamond kwa kutuletea Zari, asante Zari kwa kutuamsha watanzania kuwa kitu kama hicho sio lazima aje Rihanna au Kanye West ndio kifanikiwe.
 
Ile party hata milioni mia nne haikuingiza! Hizo data zako sijui umeota wapi!!!
 
Kutokana na taarifa ya Babu Tale jana akihojiwa na Millardi Ayo. Alisema kuwa ticket za Milioni 3 zilikuwa 10 tu na ziliisha masaa matatu toka zimetangazwa.
 
Kutokana na taarifa ya Babu Tale jana akihojiwa na Millardi Ayo. Alisema kuwa ticket za Milioni 3 zilikuwa 10 tu na ziliisha masaa matatu toka zimetangazwa.

Alaaah kumbe. ...
 
Toa sababu zako kwanini unasema ni uongo?
Weka facts mezani sio blah blah.

Kwanza kwa uzoefu wangu mdogo Ile kazi haijaingiza milioni 700 na Maongezi ya kufanya lile onyesho inasemekana yalianza muda mrefu sana. Lengo lilikuwa iwe Diamond Are Forever part 2. Diamond akaamua na Team yake wafanye Zari All White Party ( kwa sababu za kibiashara ) ili tamasha walilokusudia mwanzo lifanyike UK.


Kuhusu Promotion kuchelewa mimi ni msikilizaji wa siku nyingi sana wa radeo na nimepata kauzoefu kadogo. Nina hakika haya ni mambo ya kitaalam. Kama una kumbukumbu week iliyopita kulikuwa na Les Wanyika, week nyingine nyuma kulikuwa na Uzinduzi wa Christian Bella kwa maana hiyo wasingeanza promo mapema wasikilizaji mngechanganyikiwa.

Hii taarifa ya jamaa haina ukweli hata chembe.
 
Du waliotoa M3 watakuwa wamerogwa na nani? Shetani mweupe kawapitia, Angalau achukue Ten m, amsopu sopu baba yake eheee!!!
 
Du waliotoa M3 watakuwa wamerogwa na nani? Shetani mweupe kawapitia, Angalau achukue Ten m, amsopu sopu baba yake eheee!!!

unashangaa nini wewe watu wana pesa za escrow mifuko yote zimejaa
 
mbona hujaongezea mapato ya waliotoa dollar 5 na elfu 3😂😂😂😂😂
 
Matusi yaligeuzwa kuwa pesa. Shule ndogo akili nyingi kuzidi profesa.
 
woowoooo hoyaaaa kiko wapi kumbe changa nilijua tu hakuna kitu pale hoyaaaaaa.kimenuka kumbe mashauzi yote yale wamelamba milion 200 tu nyingine wamewapatia wazee wa jiji chezea bongo na zari ujue uku ndio bongo,POLE SANA ZARI JAMANII. na hii ishu ni kweli tupu mi pia nimeipata yote. KIKO WAPI? MTAJIBEBA


we umepata ngapi milioni 200, unaona ndogo ndani ya masaa machache acha chuki zisizokua na msingi panua akili yako fikiria zaidi na wewe siku mmoja upige hela iyo ndani ya masaa machache
 
Hiyo mill 700 ni gross au Net. Maana naona kuna gharama zingine chungu nzima Hapo kuanzia matangazo, photoshoot, ukumbi, wapambaji, vinywaji, performers, photographers/videos etc...
 
Back
Top Bottom