Hasira za waandamanaji.Mama amefanya kosa gani?
Hasira za waandamanaji zinaelekezwa kwenye kudhuru watu wasio na hatia yoyote?Hasira za waandamanaji.
Tulia mwenyewe kaokolewa na RPC wa Iringa (kama si Njombe).
Alikutana na ‘wananchi wenye hasira kali’
Kama walivyoshadadia kuuawa Kwa wasio na hatia .. ... Imeandikwa mshahara WA dhambi ni mauti ..Hasira za waandamanaji zinaelekezwa kwenye kudhuru watu wasio na hatia yoyote?
Sikiliza mahojiano ya Tulia kuhusu utekaj. Spika wa bunge.Hasira za waandamanaji zinaelekezwa kwenye kudhuru watu wasio na hatia yoyote?
Hata mimi, Mungu atatusamehe na anajua machungu tunayopitia.Sina huruma na mtu yeyote aliyeshiriki kuwakandamiza wananchi mpaka hapa tulipofikia. Mungu atanisamehe kwakweli 🙏
Hapana.Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana.
Inadaiwa…
Nakubaliana nawe; ila hatujui kama huyo mama hakufanya kama unavyo shauri. Uamuzi ni wa mwanae, kufuata ushauri au kughaili.Sikiliza mahojiano ya Tulia kuhusu utekaj. Spika wa bunge.
Wanachofanya raia ni kujaribu kumpa maumivu yale yale aliyowapatia wao.
Pole kwa huyo mama lakini Ikawa fundisho, ukiiishi ma mtu mwenye mamlaka na ukaona hafanyi mambo yanatakikana mpe ukweli. Siyo unaenjoy tu kodi zetu huko…
Hasira za waandamanaji zinaelekezwa kwenye kudhuru watu wasio na hatia yoyote?
Kama alifanya basi hana kosa.Nakubaliana nawe; ila hatujui kama huyo mama hakufanya kama unavyo shauri. Uamuzi ni wa mwanae, kufuata ushauri au kughaili.
Mhusika yakimfika moja kwa moja, hata mimi nitajisikia kama unavyoeleza kwenye post yako.
Kwa huyo mama sijui; lakini kwa mtu kama wewe, unaye tetea maovu yanayofanyiwa waTanzania, yakikupata ya hao waandamanaji itakuwa ni halali yao.Mama amefanya kosa gani?
Mama huyo alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kumshauri mwanaye kwamba mambo anayofanya si sahihi kabisa.Kama alifanya basi hana kosa.
Kama kafa Mungu atampokea na atakuwa sawa na waliofia kwenye maandamano. Kama kaumizwa, ndo price ya kulipa ukiwa mzazi au ndugu wa kiongozi-kuna mazuri na mabaya. Yote ayapokee.
Haya tuendelee! Safari sasa ni moja ya time ya uchaguzi. Huyu mwenyekiti wa tume kwanza apewe discipline kidogo.
Hapana tena.Kama alifanya basi hana kosa.
Kama kafa Mungu atampokea na atakuwa sawa na waliofia kwenye maandamano. Kama kaumizwa, ndo price ya kulipa ukiwa mzazi au ndugu wa kiongozi-kuna mazuri na mabaya. Yote ayapokee.
Haya tuendelee! Safari sasa ni moja ya time ya uchaguzi. Huyu mwenyekiti wa tume kwanza apewe discipline kidogo.
Maandiko yalisema "jino kwa jino"Kama walivyoshadadia kuuawa Kwa wasio na hatia .. ... Imeandikwa mshahara WA dhambi ni mauti ..
Mama yake Sugu alifanya kosa gani?Mama amefanya kosa gani?