Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

Kama kaumizwa, ndo price ya kulipa ukiwa mzazi au ndugu wa kiongozi-kuna mazuri na mabaya. Yote ayapokee
Kuna tofauti kubwa sana. Kukutwa na mkasa ukiwa sehemu moja na anayetafutwa; au kukutwa na mkasa ambao unatokana na wewe kuwa na uhusiano tu na anayetafutwa.

Sawa, haya tuyaachie hapa, kuna ya muhimu zaidi kuyashughulikia yahusuyo nchi yetu hii.
 
Collateral damages katika kurudisha heshima kwa umma.
 
Kwa huyo mama sijui; lakini kwa mtu kama wewe, unaye tetea maovu yanayofanyiwa waTanzania, yakikupata ya hao waandamanaji itakuwa ni halali yao.
Umesema vizuri, kwamba kwa huyo mama huna ushahidi wa kosa lake.
Kuhusu mimi, ebu nipe ushahidi kuwa ninatetea maovu bwashee. Ebu uweke hapa watu wote waone.
 
Umesema vizuri, kwamba kwa huyo mama huna ushahidi wa kosa lake.
Kuhusu mimi, ebu nipe ushahidi kuwa ninatetea maovu bwashee. Ebu uweke hapa watu wote waone.
Unataka nikaanzie wapi kukuonyesha kushikamana ya waovu; tangu December 18, 2008?

Mbona rekodi yako ipo wazi!
 
Jazia nyama mzee baba,umetuacha njia panda!
Nalog off Z
 
Mwafrika akishapata ukuu, pesa, cheo, huwa anaishia hapo.

Mzungu anaanza kutafuta legacy. Yani kumbukumbu nzuri juu ya jina lake kwa matendo mema alofanya, na taswira nzuri mbele ya jamii. Bill Gates anazunguka Afrika akitafiti mbegu za mihogo ambazo haziliwi na wadudu. Japo yeye hajawahi kula mhogo.

Mwalimu wa Chuo - ambae wanafunzi wake wanashuhudia hakuwa mzuri UD, cheki majuzi aliposema Rais yuko juu ya Bunge na Mahakama - huyu mtu amedondoshewa teuzi paaa! Ghafla bin vuu...

Naibu Attorney General
Mbunge wa teuzi
Naibu Spika
Spika
Rais wa Maspika kimataifa,

Kwa bahati bahati tu. Basi tumika, tumikia vyeo vya bahati uacha legacy bora.

Hakuna. Huna hata moja ulilorudisha kwa jamii, watu wakasema daah, huyu mtu anatumikia watu. Kwa unyemyekevu na jasho na heshima..

Badala yake watu wakiona magari yako wanayaponda mawe wanachoma moto.

Hujali cha legacy. Unalinda cheo na na pesa, na pesa zaidi, na raha zaidi, raha zako WEWE MWENYEWE!

Kuna dogo aliimba kuzaliwa Afrika ni bahati mbaya sana. BASATA ikamfungia, inalazimisha awasifie.
 
Unataka nikaanzie wapi kukuonyesha kushikamana ya waovu; tangu December 18, 2008?

Mbona rekodi yako ipo wazi!
Huna lolote wewe. Anzia popote unapoweza, kinachotakiwa ni ushahidi. Weka ushahidi hapa, kama huna basi tuliza nanii usilete porojo.
 
Mama wa Tulia si chochote sii lolote katika nchi hii. Sijui kama ashhawahi fika hata bungeni. Namuona mume waa Tulia
 
Sina huruma na mtu yeyote aliyeshiriki kuwakandamiza wananchi mpaka hapa tulipofikia. Mungu atanisamehe kwakweli 🙏
Akifa mama yake, nahisi itamkumbusha tulia kama kuna kifo. Mara nyingi amekuwa anakataa mijadala inayohusu vifo vya watu. Mfano mzee Kibao
 
Bill Gates anazunguka Afrika akitafiti mbegu za mihogo ambazo haziliwi na wadudu. Japo yeye hajawahi kula mhogo.
Alikua Kenya juzi tu,Rwanda ni kwake kabisa mshauri wa PK hali mihogo.😁
 
Hapana.

Yeye mwenyewe mhusika ingetafakarisha zaidi.
Huyo mama kiuhalisia matendo ya mwanae hayamhusu.
We jamaa unaongea nini aisee ?
Anyway ,unafahamu kuwa nyumba yake ilichomwa moto? Vipi pengine ulitaka wanglimtoa kwanza nje kisha ndiyo waichome?

Mzazi anahusika sana na matendo ya mtoto wake , angelikuwa mzazi mwenye hekima angelishiriki kuutengeneza ulimi wa mwanae .,ona sasa kwakuukalia kimya uovu ,amekutwa na hukumu.
 
Nimezijuwa hisia zako kwa kusoma maandishi yako mengi humu hivi karibuni. Ni kama kijana anaye anza kubalehe na hajazoea hali yake mpya.

Ninaelewa vyema sana hasira na uchungu tulio nao sote kwa haya tunayo tendewa na hawa waovu; lakini hilo halina maana na sisi tuwe waovu kama wao kwa kila jambo.

Wewe hapo ulijuwaje kuwa huyo mama hakuwa akiongea na mwanae na kumkanya?

Sasa kuumizwa au kuuliwa kwa huyo mama kutawasaidia kitu gani waTanzania, wakati mtenda maovu mwenyewe kabaki na kuendeleza maovu yale yale!

Jaribu kuepuka mihemuko unapo andika juu ya maswala kama haya.
 
Back
Top Bottom