"...porojo" wakati maandishi yako yote humu yapo kwenye kutetea uovu?Huna lolote wewe. Anzia popote unapoweza, kinachotakiwa ni ushahidi. Weka ushahidi hapa, kama huna basi tuliza nanii usilete porojo.
"...porojo" wakati maandishi yako yote humu yapo kwenye kutetea uovu?Huna lolote wewe. Anzia popote unapoweza, kinachotakiwa ni ushahidi. Weka ushahidi hapa, kama huna basi tuliza nanii usilete porojo.
Kwa hiyo kuzaa kumbe ni kosa? In maana wazazi wa lisu anayeshabikia ushoga nao walifanya makosa?Kazaa balaa la nchi
Mbona unapiga porojo tu? Weka basi angalau hata andishi langu moja kama ushahidi kuwa ninatetea uovu"...porojo" wakati maandishi yako yote humu yapo kwenye kutetea uovu?
Kwa hiyo wazazi wa lisu anayetetea ushoga pia wana makosa ya kumzaa na kutomfundisha mtoto wao kuwa na haya? Wakati ukifika nao wapondwe mawe kwa makosa ya mtoto wao, ambaye ni mtu mzima?Kushindwa kumfundisha mtoto wake kuwa na haya .
Kutokuwa kwake na haya kumempelekea kukosa staha.
Kosa llieanzia hapo.
Hizo propaganda za ushoga zilishapitwa na wakati. Huna uzushi mpya?Kwa hiyo kuzaa kumbe ni kosa? In maana wazazi wa lisu anayeshabikia ushoga nao walifanya makosa?
Wewe mwenyewe huelewi unacho andika mara zote humu JF kinahusiana na nini?Mbona unapiga porojo tu? Weka basi angalau hata andishi langu moja kama ushahidi kuwa ninatetea uovu
Safi sana. Ua yeye kama walivyoua ndugu zetu. Shenzi kabisa.Hasira za waandamanaji.
Tulia mwenyewe kaokolewa na RPC wa Iringa (kama si Njombe).
Alikutana na ‘wananchi wenye hasira kali’
Huna nyimbo. Kumdhuru mtu eti kwa kuwa alizaa ni uvunjifu mwingine wa haki tunaopaswa kuupinga kwa nguvu zote.Hizo propaganda za ushoga zilishapitwa na wakati. Huna uzushi mpya?
Pinga kwanza watu kujipigia kura na kujitangazaHuna nyimbo. Kumdhuru mtu eti kwa kuwa alizaa ni uvunjifu mwingine wa haki tunaopaswa kuupinga kwa nguvu zote.
Kwa kuwa umeshindwa kutoa ushahidi wa kuweza kunitia hatiani kuwa ninatetea uovu, basi tuhuma zako ni za uzushi; hivyo kesi imekuwa dismissed.Wewe mwenyewe huelewi unacho andika mara zote humu JF kinahusiana na nini?
Hiyo kesi nitaipokea na ninajuwa haitachukuwa raundi kukubwaga chini.Kwa kuwa umeshindwa kutoa ushahidi wa kuweza kunitia hatiani kuwa ninatetea uovu, basi tuhuma zako ni za uzushi; hivyo kesi imekuwa dismissed.
Ukiendelea nitakufungulia kesi ya kunikashifu kwa kunizushia uongo.
Hoja ni haki kwa mzazi asiye na kosa. Acha kuchukua mfano na kuugeuza kuwa ndiyo hoja.Hizo propaganda za ushoga zilishapitwa na wakati. Huna uzushi mpya?