Kuna tofauti kubwa sana. Kukutwa na mkasa ukiwa sehemu moja na anayetafutwa; au kukutwa na mkasa ambao unatokana na wewe kuwa na uhusiano tu na anayetafutwa.Kama kaumizwa, ndo price ya kulipa ukiwa mzazi au ndugu wa kiongozi-kuna mazuri na mabaya. Yote ayapokee
Collateral damages katika kurudisha heshima kwa umma.Kuna tofauti kubwa sana. Kukutwa na mkasa ukiwa sehemu moja na anayetafutwa; au kukutwa na mkasa ambao unatokana na wewe kuwa na uhusiano tu na anayetafutwa.
Sawa, haya tuyaachie hapa, kuna ya muhimu zaidi kuyashughulikia yahusuyo nchi yetu hii.
Ndiyo.Collateral damages katika kurudisha heshima kwa umma.
Tupe ushahidi kwamba mama mzazi alishadadiaKama walivyoshadadia kuuawa Kwa wasio na hatia .. ... Imeandikwa mshahara WA dhambi ni mauti ..
Tunazungumzia mama mzazi, siyo Tulia !Sikiliza mahojiano ya Tulia kuhusu utekaj. Spika wa bunge.
Kwako wewe mama mzazi ana hatia gani?Hana hatia kwako wewe
Umesema vizuri, kwamba kwa huyo mama huna ushahidi wa kosa lake.Kwa huyo mama sijui; lakini kwa mtu kama wewe, unaye tetea maovu yanayofanyiwa waTanzania, yakikupata ya hao waandamanaji itakuwa ni halali yao.
Kwani ilikuwaje?Mama yake Sugu alifanya kosa gani?
Unataka nikaanzie wapi kukuonyesha kushikamana ya waovu; tangu December 18, 2008?Umesema vizuri, kwamba kwa huyo mama huna ushahidi wa kosa lake.
Kuhusu mimi, ebu nipe ushahidi kuwa ninatetea maovu bwashee. Ebu uweke hapa watu wote waone.
Huna lolote wewe. Anzia popote unapoweza, kinachotakiwa ni ushahidi. Weka ushahidi hapa, kama huna basi tuliza nanii usilete porojo.Unataka nikaanzie wapi kukuonyesha kushikamana ya waovu; tangu December 18, 2008?
Mbona rekodi yako ipo wazi!
Akifa mama yake, nahisi itamkumbusha tulia kama kuna kifo. Mara nyingi amekuwa anakataa mijadala inayohusu vifo vya watu. Mfano mzee KibaoSina huruma na mtu yeyote aliyeshiriki kuwakandamiza wananchi mpaka hapa tulipofikia. Mungu atanisamehe kwakweli 🙏
We jamaa unaongea nini aisee ?Hapana.
Yeye mwenyewe mhusika ingetafakarisha zaidi.
Huyo mama kiuhalisia matendo ya mwanae hayamhusu.
Mama yake Sugu nae aliuwawa?Mama yake Sugu alifanya kosa gani?
Kazaa balaa la nchiMama amefanya kosa gani?
Kushindwa kumfundisha mtoto wake kuwa na haya .Mama amefanya kosa gani?
Nimezijuwa hisia zako kwa kusoma maandishi yako mengi humu hivi karibuni. Ni kama kijana anaye anza kubalehe na hajazoea hali yake mpya.We jamaa unaongea nini aisee ?
Anyway ,unafahamu kuwa nyumba yake ilichomwa moto? Vipi pengine ulitaka wanglimtoa kwanza nje kisha ndiyo waichome?
Mzazi anahusika sana na matendo ya mtoto wake , angelikuwa mzazi mwenye hekima angelishiriki kuutengeneza ulimi wa mwanae .,ona sasa kwakuukalia kimya uovu ,amekutwa na hukumu.