Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Mwenge ndo uwo uwo na mara hii mwezi wa 4 umeanza kuwashwa pemba nakuzunguka mikoa mengine mpaka ivi sasa haujamaliza mizunguko
Hisia zangu zinanituma kuwa mwenge utakuwa na imani za kishirikina ndio unazunguushwa nnchi nzima kupumbaza wananchi
 

TEC HANA JEURI YOYOTE YA KUICHEZEA SERIKALI

WALIKUWA WANAPITISHA VITU KWA MAGENDO PALE BANDARINI NA DP WORLD IMEENDA KUWAPIGA PINI MBONA WAMEUFYATA MKIA??

TEC NI WACHUMIA TUMBO TUH
 
Wao sio wajinga.... Alichofanga Nchimbi nikuwawahi kabala ya hawajumvua uanachama na kumfukuza umakam!. Hili ndilo litamuweka machinjion Nchimbi maishabyake yote hatakuja kusema lolote.... Nchimbi yupo chini ya ulinzi yeye hata angekuwa mafia vipi tiali alishaingizwa kwenye mfumo... Asingeweza kutoroka wala kuvuka mipaka.
 
Inawekanaje aondoke kimyakimya bila tisii kujua?. Ikizingatiwa wanamlinda 24/7
Kama ni kweli, yaani kama zile muvi za Kifilipino umafia mwingi. Maana yake, anatoroka na hao baadhi ya TISS au pesa nyingi inatumika kuwahonga na waliobaki unakuwa msala mkubwa kwao hata kufungwa au kuuawawa!
 
Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa

Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Bora tu akae huko huko alikokimbilia. MaCCM hayatabiriki. Yangemuua wallah!
 
Nchimbi ni Makamu wa Rais mstaafu ni ngumu kupotezwa kizembe labda awekwe kizuizini akipotezwa ccm sio chama cha siasa ni genge.
Kwani wamepotezwa wangapi na kufanyia unyama wa kutisha mpaka sasa ? Unadhani CCM ni chama tena kwa akili yako ?
 
Hata nyie mna utoto kudanganyana hapa eti mtu mwenye cheo cha VP anatoroka nchi
 
Hata nyie mna utoto kudanganyana hapa eti mtu mwenye cheo cha VP anatoroka nchi
Chochote kinawezekana Afrika kwa sababu waroho wa madaraka wanaweza kukuua au kukubambika kesi ya uasi na uhaini. Ni nani alitegemea mtu mwenye cheo cha balozi kutekwa? Maana yake, wahuni hawana aibu kabisa!
 
Chochote kinawezekana Afrika kwa sababu waroho wa madaraka wanaweza kukuua au kukubambika kesi ya uasi na uhaini. Ni nani alitegemea mtu mwenye cheo cha balozi kutekwa? Maana yake, wahuni hawana aibu kabisa!
Hivi unaweza kuthibitisha kwamba kuna balozi amewahi kutekwa?
 
Wengine huku wanaojiita majasusi kabisa wanatuambia yuko mahututi chini ya ulinzi. Ukweli ni upi wakuu!?
 
Sasa butiku ana nguvu gani CCM jamani?
Butiku anafosi tu kuwa na nguvu CCM kwasabu ni sibling wa Nyerere.
Butiku ni Oburu Odinga wa Tanzania.
Analazimishaga tu kukubalika admist Kizazi chenye utovu wa nidhamu
Hiyo kuwa sibling wa Nyerere ndiyo kete pekee ambayo kwake anaamini ina relevance na kumuweka kwenye spotlight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…