Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

Kwahiyo ikitokea Manzoki kafa, na Simba kwishiney?? Au?

Acheni hizo nyie mashabiki maandazi, hata kuchangia club hauchangii zaidi ya makelele tu
 
Usajili wa CAF si umefungwa tangu tar 15? Sasa atatumika wapi??
Mna uhakika ana kiwango kizuri?? Isije kuwa mkatuletea akina OKWA sijui KOKWA wachezaji wafupi kama PUMBU
Pumba tupu. Aliyekwambia mpira ni urefu nani? Au ndo nyie wadada mnaoshabikia mpira kwa msukumo wa waume zenu?

Miquisone, Sakho na sampuli nyingine kama hizo shughuli yao inafahamika kwenye pitch.

Sakho hadi kachukua kiatu kwa goli bora Africa nzima na ufupi wake. Acheni kufikiria mambo kwa mazoea.
 
Hii issue ni 50/50 ikitokea Manzoki akaenda Yanga SC sitashangaa sana, kwasababu inaonekana Manzoki mwenyewe hajielewi, nadai mkataba wake na Vipers unaisha mwezi wa kumi, huku Vipers wakisema ana mkataba mpaka 2024.

Kama Yanga wakijilipua wakatoa mil 400 wanaweza kumpata, Simba SC kwasasa wanaonekana wamepunguza sana mawasiliano naye.
 
Kwahiyo ikitokea Manzoki kafa, na Simba kwishiney?? Au?

Acheni hizo nyie mashabiki maandazi, hata kuchangia club hauchangii zaidi ya makelele tu
akili yako ina makamasi we jinga square, hapo ulipo kwenyewe bando hauna unatumia freebasics halafu unapiga mikwara ya kuchangia klabu
Dejan ndiye mbadala wa manzoki? alikosekana striker mwingine afrika? SIMBA IMEKOSA HELA YA KUNUNUA QUALITY PLAYERS SABABU MASHABIKI MAANDAZI HATUCHANGII ?
 
Itaumiza sana wana simba hii na itawafanya yanga pale mbele kuwa unstoppable mnooo,kama issue yake ilisumbua kweli afrika hii ilishindikana kupata mchezaji mwingine jamani

tukilalamika tunaitwa mashabiki maandazi tusiochangia kitu kumbe hata kina M bet wanatoa mabilioni ya pesa kwa kuvutiwa na mtaji watu wa haohao mashabiki maandazi
 
Yanga watamtangaza Dario Frederico kutoka Singida BS na siyo Manzoki.

Muda utaamua.
 
Nimefatilia kwa kina uhakika nilioupata no Manzoki.
dah!,,Hanse Pop angekuepo angetumia hata fedha zake binafsi ili tu timu itimize malengo kwa Manzoki.
 
Nimefatilia kwa kina uhakika nilioupata no Manzoki.
dah!,,Hanse Pop angekuepo angetumia hata fedha zake binafsi ili tu timu itimize malengo kwa Manzoki.
Poleni kama hizo tetesi zitakuwa ni za kweli. Maana kwa Stephen Aziz Kii nako mambo yalikuwa hivi hivi.
 
Simba mm mpaka Leo haina 6 wa uhakika. Niliamini Akpan ni suluhisho kumbe bado Sana. Lakini ninachosema kuhusu Manzoki si lazima awe yeye. Washambuliaji wako wengi wachukue mwingine.
 
Kwani si tayari kuna mzungu pale...
 
Yanga watuletee Dario mbrazili na manzoki, Ducapel na Makambo waoelekwe kwa mkopo Singida, hapo uwakika wa kufika robo final Caf ni 90%

Ndoto za alinacha, za mchana kweupeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…