Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Djigui Diara nje wiki sita. Max Nzengeli nje wiki mbili
Uchawi una kawaida ya kuaibisha..

Wanachokipitia Yanga ni madhara ya uchawi walioufanya kwa wenzao...

Yanga hawana tatizo la wachezaji, hata kama Max na Diara wameumia ila watapitia kipindi kigumu sana...

Tutaendelea kuona Yanga ikifungwa goli za ajabu hadi akili ziwakae sawa.
 
Mnajua kujilazimisha faraja fake
Usijidanganye
Yanga bingwa
 
Jamaa watakua walipiga mauachawi mengi sana ..sasa uchawi umeisha au unawarudi...leo diarra ni wa kukaa nje miezi?
 
TETESI: Saido Ntibanzonkiza kutambulishwa Jangwani muda si mrefu. Habari za uhakika zinapasha kuwa ameshamalizana na uongozi wa Yanga.
ntibazontika tulimtumia akaisha ndo tukaamua tuwape na nyie makolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…