Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Ungeweka na wachezaji wanaokwenda kuwatoa

Lameck Lawi anaenda kuchukua nafasi ya kazi.0

Semfuko ni mchezaji mzawa so hana idadi.

Abdelhaly forsy anakuja kuchukua nafasi ya mutale.
 
Reactions: BRN
Kuelekea dirisha dogo mwalimu fadlu anataka kusajili wachezaji watatu tu.

Winga mmoja: Tayari mpanzu kashasajiliwa.

Kiungo mshambuliaji mmoja: za ndaani wanamtaka kiungo mmoroco.

Beki mmoja wa kati: hapa anaweza kuwa lameck lawi au mwingine yoyote.
 
Lawi baada ya zile sarakasi , wa kaz gani sasa
 
Lameck Lawi anaenda kuchukua nafasi ya kazi.0

Semfuko ni mchezaji mzawa so hana idadi.

Abdelhaly forsy anakuja kuchukua nafasi ya mutale.
Mutale haondoki. Hapo labda Lakred
 
Nilikuwa na maongezi mafupi na Injinia Hersi (hata mimi ni injinia kwa hiyo tunaelewana sana) akaniambia kuwa yanga imeamka na sasa hivi dozi za tano tano zinaanza tena kwa sababu ya "YANGA BINGWA."
 
Nilikuwa na maongezi mafupi na Injinia Hersi (hata mimi ni injinia kwa hiyo tunaelewana sana) akaniambia kuwa yanga imeamka na sasa hivi dozi za tano tano zinaanza tena kwa sababu ya "YANGA BINGWA."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]
 
Kama nilivyoripoti kuhusu Gamondi kutohudhuria kikao, taarifa za hivi punde ni kuwa kaachana na Yanga
 
Huyu Ibrahima Seck naambiwa ni fundi haswaa, sijui kama tutamuweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…