Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Hizi tetesi mbona hazina elia mpanzuuu
 
Jonathan Sowah amesajiliwa Singida Black Stars
Duuh hawa singida mbona wanabalaa vyuma wanavyoshusha vina hadhi kabisa ya kukipiga kariakoo wanataka nini hawa jamaa? Hivi adebayoo yuko wapi mbona simuoni akicheza.
 
Ibrahim seck ana miaka 20 tu anajua sana na kaitwa timu ya taifa ya senegal inabidi tukomae tumpate mapema kabla hajaenda ulaya. Naona wanamuita timu ya taifa kumsafishia njia ya kwenda ulaya tukimkosa abdelhay forsy atatufaa.
 
Alichelewa kufika hivyo hajawa fit ila yupo
 
Ibrahim seck ana miaka 20 tu anajua sana na kaitwa timu ya taifa ya senegal inabidi tukomae tumpate mapema kabla hajaenda ulaya. Naona wanamuita timu ya taifa kumsafishia njia ya kwenda ulaya tukimkosa abdelhay forsy atatufaa.
Ibrahima Seck anakuja kuchukua nafasi ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…