Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

FB_IMG_1731680954805.jpg
 
Lawi baada ya yale mapicha picha wa nini mkuu kwenye timu yetu? Kama mtu alikua ana mapenz ya kweli na timu angeweka msimamo tangu mwanzo kwamba mimi naenda simba baaas, huyo akienda yanga ndio mpira wake utaishia huko.
Mnataka kumloga na huyu?
 
Kama mambo hayatabadilika, Singida Black Stars itawapa Yanga mchezaji wao mpya Jonathan Sowa huku Yanga wakiwapa Kennedy Musonda kwa mkopo
 
Subiri uone kama Valentino ni kibonde anayetakiwa kuachwa.
Hajui mpira huyo jamaa sijawahi kumuelewa hata siku moja. Nouma gari limeanza kuwaka na jana kacheza vizuri sana kuliko mabeki wote wa bukinabe halafu bado mdogo tu anaachwaje?
 
Striker raia wa Uganda, Fahad Bayo anawindwa na Young Africans baada ya kuachana na timu yake
 
Back
Top Bottom