Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Huu msimu kama itakuwa hivyo, Simba watakuwa wameonyesha umakini sana.
Hizi story hatujaanza kuziskia leo,nakumbuza interview ya Magori baada ya kuwasajili Sakho na Banda.I think Simba walipaswa kupata kocha kwanza ambaye atatoa aproval ya huo usajili
 
Hizi story hatujaanza kuziskia leo,nakumbuza interview ya Magori baada ya kuwasajili Sakho na Banda.I think Simba walipaswa kupata kocha kwanza ambaye atatoa aproval ya huo usajili
Mpira wa kisiasa umetoka Kwa kusajili wachezaji wa kocha. Timu zinajenga falsafa zake na kuwa na wakurugenzi wa ufundi. Wachezaji wanasajiliwa kulingana na falsafa za timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…