Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mashabiki na wapenzi wa Simba Mjiandae kisaikolojia.
Hadi sasa Tunapoongea Timu yetu imesajili wachezaji wawili tu.

1.Jonathan sowa.
2. Kante.

Msije mkasema sijawambia Yanga Bingwa.
 
Kwa u special gani alionao huyo Feisali hadi watu wampige? Kila timu itaziba mapungufu kulingana na namna anavyoona. Kuna wachezaji zaidi ya Feisal kwa Tanzania na Africa kwa ujumla.
Wacha ujinga wewe wenye timu yao walikwenda mpaka kwa bimkubwa kumpigia magoti halafu wewe unaleta ngonjera zako hapa
 
Mashabiki na wapenzi wa Simba Mjiandae kisaikolojia.
Hadi sasa Tunapoongea Timu yetu imesajili wachezaji wawili tu.

1.Jonathan sowa.
2. Kante.

Msije mkasema sijawambia Yanga Bingwa.
Dah! mkuu comment yako n tata kidg, kwahyo hawa wachezaji wapya wengne hawaaminiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…