Club bora tumeziona kwenye FIFA club world cup hayo mengine ni maoni yakoOK, basi tuziite timu bora zinazotambulika Africa Simba ni namba 5, halafu giant wa Tanzania aliyejikusanyia makombe lukuki hayupo hata top 10. Hii imeekaa sawa, si ndio?
Maoni ya CAFClub bora tumeziona kwenye FIFA club world cup hayo mengine ni maoni yako
Ukisema ni nani bora Africa kwa mwaka 2025 jibu unapata ni Pyramids FC sababu gani?Mimi ni nani niwabishie wenye maamuzi kuwa nani ni bora Africa kwa mwaka 2025? Kwani tatizo lipo wapi boss? Ni Simba kuwa hapo top 5 ndo kunasababisha Rank kisiwe kigezo cha ubora wa Club Africa?
#justiceformzinzeHii sio siasa
Kichwa chako kipo timamu kweli?#justiceformzinze
Na kwa miaka mi5, bingwa ni nani? Tusaidie top 5.Ukisema ni nani bora Africa kwa mwaka 2025 jibu unapata ni Pyramids FC sababu gani?
Sababu ni
1) bingwa wa CAFCL
2) ndiye aliyekusanyia points nyingi zaidi kuliko timu yeyote ile.
Labda kama alicheza miaka ya 80+Inawezekana haukumuona kabisa Mark Sirengo... Inawezekana miaka hiyo bado ulikuwa kwenye mbupu za dingi...
Unataka top 5 ya mabingwa?Na kwa miaka mi5, bingwa ni nani? Tusaidie top 5.
Unataka top 5 ya mabingwa?
1) Pyramids
2) Al Ahly
3) Al Ahly tena
4) Wydad
5) SIMBAAAAAAAAAAAAAA
Kuna wale mashabiki wa Yanga ambao, as long as mashabiki wa Simba wana furaha wao wanaikosa furaha, hata kama wamebeba ubingwa wa dunia. Furaha yao imewekezwa kwenye huzuni ya Simba.Simba ubingwa kachukua lini? Sijui kama kuna mashabiki wengine wanaokaa kufurahia ranks zaidi ya huku kwetu Tanzania.
Ilitakiwa uwahishwe milembe kabla mambo hayajaharibika.#justiceformzinze
Kama vip Simba wangemrudisha huyu jamaa, bado anahitajika pale katikati