Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Uwezekano wa Feisal Salum ( Feitoto) kuondoka Azam FC msimu huu umekuwa mgumu sana. Anaweza kusaini mkataba mpya na Azam wenye kipengele cha kumuachia hivi karibuni.
Kwa hili la Feisal umepotosha watu Sana omba radhi. Ulituaminisha mkataba na Simba tayari bado kutangazwa tu. Hizi story mpya unazokuja nazo zinafutaje zile za awali ulizosema Una uhakika 💯?
 
Badae hatutaki ujinga wenu humu ndani kuwa magungu out

Hatutaki kelele za gsm anaharibi ligi
Sasa wewe ni nani hadi uwapangie simba viongozi wa kuwaongoza, kama wao wenyewe wameamua kwamba hawamtaki mangungu ninyi inawahusu nini, na kama ni kweli gsm anaharibu ligi ulitaka watu wasiseme vipi na zile kelele zenu za tff wanaharibu ligi kupitia marefa
 
Kwahiyo hoja yako Arsenal ni timu kubwa kuliko Porto kwa vigezo vipi?
 
Kwahiyo hoja yako Arsenal ni timu kubwa kuliko Porto kwa vigezo vipi?
Kijana achana na mpira fanya mambo mengine maana huna unachojua zaidi ya ushabiki uchwara tu, kitendo tu cha kuuliza kama arsenal ni timu kubwa kuliko porto achilia mbali ni kwa vigezo vipi tayari unaonesha wewe hujui mpira, yani kabisa kwa akili yako unaweza ukasimama mbele za watu ukasema porto ni timu kubwa kuliko arsenal kwa kigezo cha ucl hivi unajua hata maana ya timu kubwa kwanza au ndio wale wale
 
Mbona gazeti refu wakati umeambiwa utaje vigezo vyako
 
Ndio msimu ujao hatutaki tena kusikia kelele za marefa, kwa uchezaji wa mabeki wa ligi yetu wakiwemo wa uto simba watapewa sana penati, ninyi endeleeni tu kusajili wachezaji wa kuwafunga simba kama kawaida yenu
Hata nyinyi bila kuwafunga yanga hamfeel raha yoyote hata mkizifunga timu zote za ligi kuu.

Msiklize semaji hapa chini
Your browser is not able to display this video.
 
Naby Camara anatakiwa na Simba Sc
Mkuu Yani sisi tunavimba mtaani huku kua mabosi Wana hela kumbe hakuna kitu ...si Bora niende Azam tu. Kwa matajiri wa ukweli ...unajiita tajiri ilihali huwez hata kumlipa mshahara mtu milion50+ ...mnalipa hela mbuzi milion10+ ndio mtu anaona amelipa hela nying kumbe ujinga tu. Halafu unategemea utashindana na klabu za mamelodi na nyinginezo kwenye ubingwa afrika,,,halaef eti timu kwenye market value Ina thamani ya bilioni 7.5...
 
Kwa hili la Feisal umepotosha watu Sana omba radhi. Ulituaminisha mkataba na Simba tayari bado kutangazwa tu. Hizi story mpya unazokuja nazo zinafutaje zile za awali ulizosema Una uhakika 💯?
Halafu pia embu acheni umbulula nyie mambulula...kwani ni lazima yeye kuleta habar ambazo lazima ziwe za ukweli? Kwaio kumbe hua mnatamani alete habar ambazo mwisho wa siku mnatamani zisiwe za kweli ili mje mpopoe macho? Uchawi bongo hautakauishe..ndio mana matajiri wanawatukana live kule mlimani city saivi kwenye kukichangia Chama tawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…