Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ha ha ha mrembo huyu ni mjuaji sana.
 
Viongozi wa simba wako serious kweli na usajili?

Mnashindwa kumleta Msindo mnatuletea Malonga?

Hili li timu lita struggle sana...

Backline ya timu wote hakuna kitu bado mnapata nguvu ya kusajili kwa kuokota?

Maanina wallah.
Huyo jamaa mwingine Uwezo wake simjui ila msindo naye naona hamna kitu
 
Jiandikishe kama Chawa wa Hichilema Sasa. Vinginevyo huna uwezo wa kutuzuia kuongea Kenge wa kike wewe. Tunamsema Hichilema na yeye anajua tofauti ya tetesi na taarifa iliyothibitishwa kama alivyowahi kusema kuhusu Feisal na Simba.
 
Jiandikishe kama Chawa wa Hichilema Sasa. Vinginevyo huna uwezo wa kutuzuia kuongea Kenge wa kike wewe. Tunamsema Hichilema na yeye anajua tofauti ya tetesi na taarifa iliyothibitishwa kama alivyowahi kusema kuhusu Feisal na Simba.
Huyo ndo mbumbumbu
 
Mbona gazeti refu wakati umeambiwa utaje vigezo vyako
Sasa kama unasema hilo ni gazeti nikikutajia vigezo si ndio utasema ni waraka kabisa, nimekuuliza kwahiyo wewe unaona porto ni timu kubwa kuliko arsenal, maana kiuhalisia hili ndilo lilitakiwa kuwa swali na siyo lile ulilouliza wewe
 
Hata nyinyi bila kuwafunga yanga hamfeel raha yoyote hata mkizifunga timu zote za ligi kuu.

Msiklize semaji hapa chini
View attachment 3439446
Si kama ninyi semaji lenu alivyosema ile nafasi ya simba kwenye caf ranking ilikuwa inawaumiza sana, kwahiyo kwenye ile mechi na mc alger mtaenda na fyekeo kubwa ili kufyeka hiko kichaka cha simba, matokeo yake siku ya mechi fyekeo likageuka butu mkaishia kulamba nyasi tu halafu mnasema eti rank siyo muhimu
 
Wewe ukishauliza swali kwanini umpangie mtu namna ya kujibu kwanini unataka mtu ajibu vile unavyotaka wewe, na unajuaje kama swali hili linahitaji mstari mmoja na lile linahitaji aya halafu ni wazi hujui maana ya aya rudi shule, kama nawe ndio wale mnaosema porto ni timu kubwa kuliko arsenal kwa kigezo cha ucl achana na mpira tafuta vitu vingine vya kushabikia
 
 
Kama wewe ulivyo mwanachama mtiifu wa eymael
Jadda usibandanishe aya zako zinatia uvivu sana kusoma.

Unaweza ukawa unaandika vitu muhimu sana na vyenye hoja lakini uandishi wako unachosha na kufanya watu wasikuchukulie serious.

Naamini hiki kitu ↩ kipo kwenye kifaa chako unachotumia ku type kitumie ipasavyo.
 
Sasa mbona umeleta kitu ambacho wewe mwenyewe umeshindwa kukielewa na kukitafsiri huoni kama jibu lipo hapo palipoandikwa "kila aya inapaswa kuwa na wazo kuu moja" au kwa vile wewe umezoea kuandika mistari kumi tofauti inayoelezea wazo moja, mimi aya zangu huwa zina wazo moja yani ukiona nimeandika aya ndefu bila kuachanisha ujue inaongelea kitu kimoja na hata ile aya yangu uliyoisemea nayo ilikuwa na wazo moja ambalo lilikuwa linahusu kulinganisha porto na arsenal, kwahiyo nilikuwa najua ninachomaanisha nilipokuambia hujui maana ya aya urudi shule ila badala yake ukaenda kuleta maelezo ambayo yanasapoti nilichokisema mimi wewe kushindwa kusoma siyo tatizo langu kikubwa nimezingatia maana halisi ya aya na siyo uvivu wako wa kusoma
 
Wewe hujawahi kunikuta kwenye jukwaa la mahusiano na urafiki kule watu huwa tunashusha magazeti zaidi ya haya na tunasoma na kujibizana vizuri tu na hatulalamiki, wewe kama una uelewa wa haraka utasoma na utaelewa hivi vingine ni visingizio tu yani mimi niache kuzingatia maana ya aya nianze kufikiria eti kuna mtu ataona uvivu kusoma, uvivu wako wa kusoma ni shida zako wewe siyo zangu mimi huwa nina mambo mengi ya kuandika nikisema niwe nayaandika katika mstari mmoja mmoja kama unavyofanya wewe hizo zitakuwa siyo aya tena bali ni kitu kingine kabisa kisicho na jina
 
Kwenye simu au kompyuta yako hii alama ↩ haipo?
 
Na alama za uandishi pia ni tatizo kubwa sana kwako.

Hiki ulichoandika hapa kinathibitisha.

Hakuna kituo katika sentensi zako.
 
Kwenye simu au kompyuta yako hii alama ↩ haipo?
Hivi umeelewa nilichokuambia
Na alama za uandishi pia ni tatizo kubwa sana kwako.

Hiki ulichoandika hapa kinathibitisha.

Hakuna kituo katika sentensi zako.
Wewe kama huwezi kusoma posts zangu acha hayo mambo nendeni mkawafundishe mademu zenu wanaoandikaga xx ck hz vp mimi huna cha kunifundisha kwenye uandishi, na ni wazi huwa husomi posts zangu hadi mwisho huwa unakurupuka tu maana ungesoma ungeona alama humo ndani, narudia mimi kazi yangu ni kuwasilisha hoja zangu tu mambo ya uvivu wa mtu wa kusoma mimi hayanihusu kabisa
 
Jadda kama jadda kolo bin mbumbumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…