kipanta the boss
Senior Member
- Dec 15, 2013
- 101
- 133
Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba kila kitu kimekwisha
Kupitia thread hii ,tumepata tetesi za yanga,azam na simba pia! Kama kuleta tetesi za simba zinaumiza, nadhani busara ilikuwa wewe kuandaa thread ya tetesi za Yanga tu na ku ignore za simba!Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba kila kitu kimekwisha
Simple kabisa...hawa mamavi ya frogs FC wanakera sana ....hata wanampangia mtu aandike habar zao kama walivyomnunua yule punguani Hans...Kupitia thread hii ,tumepata tetesi za yanga,azam na simba pia! Kama kuleta tetesi za simba zinaumiza, nadhani busara ilikuwa wewe kuandaa thread ya tetesi za Yanga tu na ku ignore za simba!
Unampania bwana wako mremboSimple kabisa...hawa mamavi ya frogs FC wanakera sana ....hata wanampangia mtu aandike habar zao kama walivyomnunua yule punguani Hans...
Tofauti tetesi na huyo anayesema tayari Iko confirmed FEI amesajili Simba miaka 3Simple kabisa...hawa mamavi ya frogs FC wanakera sana ....hata wanampangia mtu aandike habar zao kama walivyomnunua yule punguani Hans...
Anacheza nafasi gani?Naby Camara ni mnyama
Rafiki yangu hichilema anatokea wapi huyu na anacheza nafasi ganNaby Camara ni mnyama
Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba
LB, DM, AM, CBAnacheza nafasi gani?
LB, DM, AM, CBRafiki yangu hichilema anatokea wapi huyu na anacheza nafasi gan
Camara wa berkane??? kama ni huyo mkuu hapa nakukataliaLB, DM, AM, CB
Poa poa ndugu yangu endelea kutuletea taarifaLB, DM, AM, CB
Mbona kama ugonvi?Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba kila kitu kimekwisha
Sio yule wa Berkane, uyu ni alianzia CS Sfacxien u21 msimu wa 19/20 na msimu unaofuata wa 20/21 akaingizwa CS Sfaxien senior team.Camara wa berkane??? kama ni huyo mkuu hapa nakukatalia
Ni suala la muda tuPoa poa ndugu yangu endelea kutuletea taarifa
Vp Edmund john anaweza kwenda yanga?
Kwa Heri Mzize.Edmund John amesafiri na timu ya Yanga kuelekea Rwanda Kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa August 15,2025
Kinda Edmund John ametokea Singida Black Star na amejiunga na Yanga Kwa mkataba wa miaka 4
Biashara nzuri Yanga amefanyaKwa Heri Mzize.
Je ni replacement nzuri?Kwa Heri Mzize.
Nadhani Edmund John akipewa game time ni mchezaji mzuri ila kufika Kwa Mzize badoJe ni replacement nzuri?
Mkuu Hichelema; kwanza nikiri wazi kuwa huyo jamaa sijawahi kumuona akicheza "live" lakini nimemuangalia "youtube" na wakati mwingine "youtube" zinatudanganya maana zinaonesha mazuri tu. Iwapo ule ndio uchezaji wake halisi basi Simba watakuwa wamepata chuma hasa mtu na nusu. Nguvu, akili, maarifa, jicho la pasi, kasi, n.k. Yaani huyo jamaa ni Miquissone mtupu tofauti yake ni kuwa Miquisone alikuwa kiraka cha juu na huyo jamaa ni kiraka cha chini.Naby Camara ni mnyama