π€£ππ Walificha madesa wakamsajili flops Rushaina na Maema Kwa mkopoWaliomtaka ni simba acheni kujipa ujiko hapa huo mwezi january hatukusikia tetesi zozote za yanga kumtaka okello bali simba haikuwa tu tetesi, bali waliitafuta kabisa timu yake vipers na kutaka kumsajili ila timu ikagoma kumuachia dirisha dogo ikasema labda wajaribu dirisha kubwa, yanga tangu lini mkawa na scout wa kuspot wachezaji wa maana hao kina pacome wenyewe mmekiri kwamba ilikuwa waende simba ila mkawawahi juu kwa juu, na msimu huu ndio mmetuthibitishia kabisa kuwa huyo injinia wenu huwa anasikilizia tetesi za simba wanataka wachezaji gani, kisha anatake advantage ya delay ya kamati ya usajili ya simba anawawahi ila safari hii tumeona alivyoingizwa chaka kwa conte na kouma maana simba walificha madesa
Nimeleta ya MaemaIliwaficha wapi wasijulikane hata kwa tetesi? Au tetesi zao ulishazileta?
Amepewa Thank you?Vipi Mutale?
Ok mkuuNimeleta ya Maema
Bado mchezaji mmoja ama wawili mkuu. Maana umesema kuna wachezaji wawili ama watatu wa kimataifa watatambulishwaNimeleta ya Maema
Hivi ishu ya Malongo imekaaje mkuu?Nimeleta ya Maema
Kubalini tu mliingia mkenge kwa Bala ConteOkello ashasain Belgium timu ya championship
Yanga walimtaka mwezi January dilinlikafa kwakuwa MVP na top scorer wa Uganda amesaini zamani Belgium
50/50Hivi ishu ya Malongo imekaaje mkuu?
BadoAmepewa Thank you?
Like bus na zile ofisi na yule mchezaji mmoja mbona kimiya
Ukimkuta na yule mchambuzi wao uchwara anavyompamba anamuita midfield general ππKubalini tu mliingia mkenge kwa Bala Conte
Mkuu kusema mchezaji mmeingia mkenge ama lah kwa mechi moja tena timu ikiwa haijafiikia hata wiki mbili katika training, unakuwa kama sio mtu wa mpira wa miguu. Mayele, Azizi Ki, Lomalisa, Pacome, Abuya ni mifano ya wachezaji ambao walionekana ni wabovu ila ikawa kinyume chake. Tuupe muda utoe majibu sahihiKubalini tu mliingia mkenge kwa Bala Conte
Akiwapaka futa la pdidy mechi ngao ya jamii ndo mtanyamaza Kwa Sasa ruksa kubwabwajaBalla Mousa Conte ananikumbusha Justin Zulu (mkata umeme). yaani hapo kuna Takataka pro max na Takataka s24 ultra
eti ndugu yangu Bwa. Hersi kwani unataka tuanze vita ya matusi au?Akiwapaka futa la pdidy mechi ngao ya jamii ndo mtanyamaza Kwa Sasa ruksa kubwabwaja
Nimefurahi kuona ngao ya jamii Yanga tunapiga game moja na Simba. Ingekuwa ni ile ratiba ya awali, Azam wangetumbua sana Yanga.Kama Azam usajili wao wamemwachia Ibenge apendekeze wachezaji awatakao, msimu ujao utakuwa mgumu sana na hata michuano ya kimataifa Azam wanaweza kufanya kitu kikubwa.