Angetoa picha ya Simba ... Pia angechukua few touches za jezi za pre seasonMbona ni nzuri tu, au sababu zilivuja? Leo nimeona mtu kavaa ile nyekundu, alipendeza tu. Ila ya Pre ilikuwa nzuri zaidi. Nadhani isingekuwa nzuri vile hii ingeonekana nzuri mno.
Yes.Angetoa picha ya Simba ... Pia angechukua few touches za jezi za pre season
Wewe ukiamua kusema hivyo sema tu wala hukatazwi ila mimi naongelea uhalisia siongelei mitazamo yangu ndio maana nakuambia wewe huna taarifa sahihi, kwahiyo unaweza ukawa unabishana na mtu ambaye anafahamu ambacho wewe haufahamu, yanga walishapanga wamuuze mzize kuenda es tunis ila walipoona simba wanaendelea kuboresha kikosi wakaghairi huo ndio ukweli wanaojua wanajua wewe kama hujui poleSeleman mwalimu kaenda Simba, Mzinze kabaki Yanga.
Ukisema Mzinze kabakishwa sababu ya Seleman Mwalimu, basi na mimi nitasema Seleman Mwalimu kaletwa Simba kwa sababu ya Mzinze.
Acha ibaki Seleman yupo Simba na Mzinze yupo Yanga.
Sawa kikosi tutakiona tarehe 16, sio.mbali😂🤣😅Wewe ukiamua kusema hivyo sema tu wala hukatazwi ila mimi naongelea uhalisia siongelei mitazamo yangu ndio maana nakuambia wewe huna taarifa sahihi, kwahiyo unaweza ukawa unabishana na mtu ambaye anafahamu ambacho wewe haufahamu, yanga walishapanga wamuuze mzize kuenda es tunis ila walipoona simba wanaendelea kuboresha kikosi wakaghairi huo ndio ukweli wanaojua wanajua wewe kama hujui pole
Na Simba wamemleta Selemani baada ya kuona Yanga inambakisha Mzinze kama mkakati wa kuboresha kikosi chaoWewe ukiamua kusema hivyo sema tu wala hukatazwi ila mimi naongelea uhalisia siongelei mitazamo yangu ndio maana nakuambia wewe huna taarifa sahihi, kwahiyo unaweza ukawa unabishana na mtu ambaye anafahamu ambacho wewe haufahamu, yanga walishapanga wamuuze mzize kuenda es tunis ila walipoona simba wanaendelea kuboresha kikosi wakaghairi huo ndio ukweli wanaojua wanajua wewe kama hujui pole
Sasa mwalimu utamfananisha na mzize, kwamba simba wamchukue mwalimu sababu ya kumuogopa mzize, mnapenda sana kujifariji ujingaNa Simba wamemleta Selemani baada ya kuona Yanga inambakisha Mzinze kama mkakati wa kuboresha kikosi chao
Sasa Mzinze utamfananisha na Mwalimu, kwamba Yanga wambakishe Mzinze sababu ya kumuogopa Mwalimu, mnapenda sana kujifariji ujingaSasa mwalimu utamfananisha na mzize, kwamba simba wamchukue mwalimu sababu ya kumuogopa mzize, mnapenda sana kujifariji ujinga
Yani uto upumbavu wenu unafichwa na timu yenu kuchukua ubingwa wa mchongo tuSasa Mzinze utamfananisha na Mwalimu, kwamba Yanga wambakishe Mzinze sababu ya kumuogopa Mwalimu, mnapenda sana kujifariji ujinga
Mbumbumbu bhnYani uto upumbavu wenu unafichwa na timu yenu kuchukua ubingwa wa mchongo tu
Ndio unawajua hao tu au tukutajie wengine waliosajiliwa msimu huu maana mmekariri safari hii kijili na malone hawapo, by the way hao hao wabovu ndio waliotufikisha fainali cafcc ilihali ninyi mlihitaji hadi muwe na kikosi bora ndio mfike hapo, ninyi na hao kina mzize na zouzoua huko cafcl mliishia wapi maana simba hata iwe mbovu vipi haijawahi ishia makundi hukoMbumbumbu bhn
Sasa utachukua ubingwa na hao kina Mutale, Karabaka, Chasambi, Balua na Mpanzu?
Hivi mnajielewa kweli mbumbumbu
Yani kolo upumbavu wenu unafichwa na timu yenu kuendelea kubaki ligi kuu kimchongo tuYani uto upumbavu wenu unafichwa na timu yenu kuchukua ubingwa wa mchongo tu
Lini ilishuka darajaYani kolo upumbavu wenu unafichwa na timu yenu kuendelea kubaki ligi kuu kimchongo tu
Sifahamu, nijuze.Lini ilishuka daraja
Anacheza namba ngapi?
Simuamin na siamini ...Jayrutty asituone vichaa tunadai huyo mchezaji mkubwa
Beki wa kati na kuliaAnacheza namba ngapi?