Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hili kipa lipewe nafasi, kwa sababu ya uwezo wake. Tofauti na hapo Simba itakuwa chimbo la kuharibu wachezaji wa ndani
Ya kweli ni muhimu apewe nafasi hasa mechi za afcon ili kumpa uzoefu zaidi.
Asipo cheza mechi nyingi basi ni kumualibu tuu.
 
Acha ujinga, ud songo alikutoa robo final? Jwaneng Galaxy alikutoa nusu fainal? Kawadanganye mbumbumbu wenzio.
 
Simba wanashindwa nini kumsajili Allan Okello? Tatizo pesa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…