Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Dirisha hili sikuwa hata na mpango kuweka uzi wa tetesi nikisubiri pengine na mwingine atuletee, wadau wengi walinisihi ikabidi niwatii.
Wengine wakafika mbali kusema mshikaji ni kolo hivyo anaugulia maumivu ya kukosa kombe. This time around Azam na Yanga siwaachi kwa kila mpango wao wa usajili, Singida pia.
Siyo kwamba sifahamu mipango ya timu ndogo, nadhani wanajamvi hawana interest nazo sana.
 
Sio kwamba watu wanataka tu tetesi bali wanataka tetesi za kuaminika, tetesi zako huwa ni za kuaminika ni kama mtu ambaye yupo jikoni kabisa. Hongera
 
Hizo timu ndogo nazo ni muhimu kwani ndiko waliko jazana wadogo zetu wa kibongo huko.
 
Ya Abuya nimeamua kuifuta maana nimeona nachukizana na mashabiki wenzangu wa Yanga . Wengi hawataki kuisikia. Namuombea tu abaki Yanga
Mkuu wewe Yanga tokea lini? Wakati ni wazi wewe ni Msimbazi pure
Kuhusu Abuya, kama tetesi zipo hivyo hakuna haja ya kufuta maana unawasilisha kitu kilicho katika uhalisia haijarishi inampendeza shabiki au inamchukiza ila uhalisia upo hivyo
 
Mkuu wewe Yanga tokea lini? Wakati ni wazi wewe ni Msimbazi pure
Kuhusu Abuya, kama tetesi zipo hivyo hakuna haja ya kufuta maana unawasilisha kitu kilicho katika uhalisia haijarisha inampendeza shabiki au inamchukiza ila uhalisia upo hivyo
Sijawahi taja timu yangu japo watu huniita insider wa Simba wengine huenda mbali na kuniita Mangungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…