Huyu alituhakikishia asilimia mia kwamba feisali ameshasajiliwa simba na ni mchezaji wa simba.Mkuu mbona unatuchanganya tena? Mchezaji kusaini Simba huku akiwa bado ana mkataba na timu nyingine sio kosa kisheria?. Sasa inawezekana vipi Feisali asaini mkataba kwasasa na Simba kisha asubirie hadi msimu ujao ndio acheze, huo mkataba kusaini kwasasa kuna faida gani?
Duuuuh wewe jamaa weweX factor ni Feisal Salum (Fei toto). Nilipost hapa wenye akili nyingi wakanitukana. Siku niliposema Fei kasaini Simba ndo kweli alikuwa amesaini. Atakuja msimu ujao kama mchezaji huru
Huyo tutusa anatumia ushabiki kuleta habari, hapa alileta habari kuwa FEI amesaini Simba akaja kuumbuka licha ya kuwa tulimpa tahadhari hakuzingatiaMkuu mbona unatuchanganya tena? Mchezaji kusaini Simba huku akiwa bado ana mkataba na timu nyingine sio kosa kisheria?. Sasa inawezekana vipi Feisali asaini mkataba kwasasa na Simba kisha asubirie hadi msimu ujao ndio acheze, huo mkataba kusaini kwasasa kuna faida gani?
Bora ungesema "wameingia makubaliano yasiyo rasmi"X factor ni Feisal Salum (Fei toto). Nilipost hapa wenye akili nyingi wakanitukana. Siku niliposema Fei kasaini Simba ndo kweli alikuwa amesaini. Atakuja msimu ujao kama mchezaji huru
Ok, simba aliongoza kundi ambalo ahly alikuepo ambae ligi yake inatuzidi, kulikua na al mereikh hakuwa bingwa na as vita. Mc alger bingwa wa algeria lig yao wanatuzidi, al hilal na mazembe. Kumbuka, toka kuumbwa kwa ulimwengu hujawahi mfunga mazembe.Walikuwa mabingwa wa ligi gani sasa utafananisha na yale makundi mengine, kwenye kundi la simba hakukuwa na bingwa ndio maana wakavuka wakafika fainali wakafungwa na berkane ambaye ni bingwa bingwa simba walisha ongoza kundi gumu ambalo walikuwepo al ahly
Ni mara ya kwanza kutokea?Mkuu mbona unatuchanganya tena? Mchezaji kusaini Simba huku akiwa bado ana mkataba na timu nyingine sio kosa kisheria?. Sasa inawezekana vipi Feisali asaini mkataba kwasasa na Simba kisha asubirie hadi msimu ujao ndio acheze, huo mkataba kusaini kwasasa kuna faida gani?
Mkuu rage aliona mbali sana kuwapa lile jinaMkuu mbona unatuchanganya tena? Mchezaji kusaini Simba huku akiwa bado ana mkataba na timu nyingine sio kosa kisheria?. Sasa inawezekana vipi Feisali asaini mkataba kwasasa na Simba kisha asubirie hadi msimu ujao ndio acheze, huo mkataba kusaini kwasasa kuna faida gani?
Bro nikushauri upunguze kula maharage. Be flexible and sexy. Fei atavaa jezi namba 6 msimu ujao kama nilivyosema.Duuuuh wewe jamaa wewe
Kwanini uwasumbue mbumbumbu Kwa uongo
FEI ameongeza mkataba Azam, aliwekewa milion 800 kwenye account na mshahara wa milion 80 Kwa mwezi na bonuses na vipengele Bora kwenye mkataba kama kuwa balozi wa Azam pesa, Azam marine, n.k
Hapo umbumbumbuni hamna uweZo wa kuvunja mkataba wa FEI
Kumbuka Azam wameleta Ibenge ni coach mashindani hawezi kukubali kumtoa mchezaji Bora kumuuzia mshindani wao.
Kwani uwe unawadanganya mbumbumbu kila siku kuhusu FEI.
Nimekudharau
Wewe ni mbumbumbu tuna kudharau Kwa kuokoteza na kubini taarifaNi mara ya kwanza kutokea?
FEI hatacheza Simba hilo sahau dogo languBro nikushauri upunguze kula maharage. Be flexible and sexy. Fei atavaa jezi namba 6 msimu ujao kama nilivyosema.
Yanga hajawahi kumfunga mazembe 😂,ww ni mbu3Ok, simba aliongoza kundi ambalo ahly alikuepo ambae ligi yake inatuzidi, kulikua na al mereikh hakuwa bingwa na as vita. Mc alger bingwa wa algeria lig yao wanatuzidi, al hilal na mazembe. Kumbuka, toka kuumbwa kwa ulimwengu hujawahi mfunga mazembe.
Ha ha haX factor ni Feisal Salum (Fei toto). Nilipost hapa wenye akili nyingi wakanitukana. Siku niliposema Fei kasaini Simba ndo kweli alikuwa amesaini. Atakuja msimu ujao kama mchezaji huru
Naona unapiga kwenye kichwa mkuuWewe ni mbumbumbu tuna kudharau Kwa kuokoteza na kubini taarifa
Hapa nilikuhakikishia kuwa FEI msimu huu hachezi hapo umbumbumbuni ukabisha.
Leo umebadilika et msimu ujao
Sasa ni hivi FEI hatakujaga kucheza Simba hata siku 1
Kama Andambwile alivomtungua Diarra siyoTuna Chasambi x factor wa kumtungua magoli ya mbali Camara
Ndio maana nikasema tatizo siyo kuwa bingwa wa ligi tatizo ni ligi gani sasa ligi za mauritania sijui sudan nazo ni ligi, ofcourse tp mazembe ile iliyocheza na simba ilikuwa ya moto ndio maana nikakuambia, shukuruni msimu uliopita mlikutana na tp mazembe iliyopigwa rungu la fifa kusajili, huku tayari ikiwa imeshauza wachezaji wake wazuri karibu wote, hivyo wakalazimika kutoa baadhi ya wachezaji toka kwenye academy yao kwahiyo ile tp mazembe mliyocheza nayo ninyi siyo ile tunayoijua sisi ya misimu kadhaaOk, simba aliongoza kundi ambalo ahly alikuepo ambae ligi yake inatuzidi, kulikua na al mereikh hakuwa bingwa na as vita. Mc alger bingwa wa algeria lig yao wanatuzidi, al hilal na mazembe. Kumbuka, toka kuumbwa kwa ulimwengu hujawahi mfunga mazembe.
Labda isigundulike kama mchezaji kasaini mkataba akiwa ndani ya mkataba ila ikigundulika, Azam wanaweza kuchukua hatua za kisheria. Hivyo hata kama inatokea, ni kosa kisheria.Ni mara ya kwanza kutokea?
Kwa sentensi hiyo iliyowekwa hapo, maanake mchezaji hajasaini mkataba na Simba, ila huenda akasaini mkataba wa awali mwakani mwezi wa kwanza.Chief Hichilema tupe habari achana na wanywa supu hao..sahv wameambiwa hamna kuingia uwanjani mpk uwe na Jezi.. inaonekana Jezi zimedoda sana madukani huko[emoji41]
View attachment 3468055
SahihiLabda isigundulike kama mchezaji kasaini mkataba akiwa ndani ya mkataba ila ikigundulika, Azam wanaweza kuchukua hatua za kisheria. Hivyo hata kama inatokea, ni kosa kisheria.