Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ulijijengea sifa na uaminifu humu mkuu ila sijui ni kipi kimekukumbuka hadi kutoka kwenye kuwa mtu unayetoa taarifa sahihi na kuwa mueneza propaganda wa timu. Ishu ya Conte na Feisali imekuvua nguo
Binafsi bado naheshimu mchango wake mkuu. Ameleta taarifa humu bila malipo, Lets say 80% ya taarifa zipo sahihi 20% sio sahihi kwanini apoteze kuaminiwa? By the way ni uzi wa tetesi. Source yake ya taarifa haikuwa sahihi kwenye suala la Fei ila imekuwa sahihi kwenye masuala mengine. Anastahili heshima.
 
Hahaha, ngara23 ni TETESI.
As long as hawacharge viingilio kusoma tetesi zake msiwe serious sana boss.
 
Kuna namna mwiko unawaathiri Hawa jamaa😂
 
Yeah
 
Fadlu Davids anatakiwa na Raja Casablanca, Kaizer Chiefs na Al Ahly. Uwezekano wa kuondoka ni mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…