Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

insider mb zipo, usajili umekuwa wa kubahatisha sana, kati ya sajili 10 ni 2 au 3 zinakaribia kilo tulichoaminishwa kipindi kama hiki,,

Ibenge yuko Azam si balaa hili? mshenzi anavojua kusuka timu.
1. Usiwaamini wasemaji wa timu. Ni waongo
2. Ibenge hatafanikuwa Azam. Mwisho wa siku ataomba mwenyewe kuvunja mkataba. Robo fainali ya shirikisho hawezi fika hata makundi hawezi
 
kwa wachezaji tulionao hatuna budi kumuelewa,, unadhani ile simba ya moto ya akina Okwi angepata namba?
Hua mnampa mkataba wa mwaka mmoja mmoja nini, maana Kila mwaka lazima awapige biti mmeweke Hela mezani kwanza
 
anaitwa Jaribu Tena hahahhaha, huyu jamaa Mungu anamuona kwakweli, nasikia ni kipenz mkubwa wa Tajiri
 
Viongozi wa wekundu wa msimbazi siwezi kuwaelewa kabisa tukimkosa huyu fundi, Mussa Balla Conte.
 

mosi ni kuwa wakisajili wanachama wapya watapoteza uongozi wao kipindi cha uchaguzi, wanaona ni bora wabaki na wanachama wao wazee wa miaka nenda Rudi, kiufupi hawataki mabadiliko yoyote yale!
 
1. Usiwaamini wasemaji wa timu. Ni waongo
2. Ibenge hatafanikuwa Azam. Mwisho wa siku ataomba mwenyewe kuvunja mkataba. Robo fainali ya shirikisho hawezi fika hata makundi hawezi
Hapa hujaandila kimpira mtaalam, soma tena hii comment nadhani umeandika haraka haraka sana kuhusu ibenge, ni sahihi Azam ina shida kibao kutokana na figisu za yanga na SIMBA ila usibeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…