Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Mkuu kocha alimtaka huyo mchezaji Tangu mwanzoni wa msimu huu.Ishu sio kudanganyana mjomba , we have to be serious ...hatuko serious kabisa ukichanganya na upigaji humo humo usanii, kuchomana, ..yetu macho....
Wameweza kutoa pesa hio tena kwa fadlu kuwavimbia tena kw kuwaambia waziwazi waache usengeh .. ila kwa coulibaly wameshindwa ..acha ituue tu hii timu yetu.Huyu mchezaji price yake ni $500,000.
Baadae ilipanda mpk karibu na $600,000.
So ni zaidi ya billion 1,400,000,000/=
Kama kweli kanunuliwa
Ni pesa nyingi sana. Tena ni kiungo ukambaji.
Daaa ingekuwa vyema hio pesa wangemtafuta technical winger kama kina Louis( konde boy).
Wapo unawapata tuu.
Sema tu ni pendekezo la kocha maana timu ikifanya vibaya ili kocha asilalamike.
Mkuu shukrankwa majibu yako ila Niko hapa kukuambia kua kama ambavyo Simba tunacheza bolingo msimu huu kwasakwasa huyo mchezaji kashasajiliwa yanga baada ya wao kutuma ofa kubwa zaidi tena inayolipwa yote , nyumba na gari ...sisi wabahili wazee wa ten pasenti tulitaka kumpa kwa awamu( usanii na kutokua siriaz) ..kwaio habar ya huyu mchezaji imeshakufa kwa Simba ..tuendelee kucheza kwasakwasaIla ni pesa nyingi sana.
Nafikili itaathili hata kwa usajili wa wachezaji wengine.
HAijajulikana bajeti Yao ya usajili ni kiasi gani.
Maana kama pacome alikuwa na market ya Tsh million 700,000,000. Aziz ki 500,000,000. Ila huyo kama kweli wamesajili ni takribani billion
1,400,000,000/= ni waarabu wameona tuu kocha wa msambazi anamtaka tuu wakapandisha gharama.
Ila kwa kocha wa simba Aaaa, sio kocha wa kufanya mchezaji mdogo awe mkubwa.
Ateba kamleta yeye, Cameroon alikuwa binge la mchezaji ila kuja huku aaaaa. Hata MVP wa Nigeria kaja huku aaaaa.
Kwa kiungo mkabaji hicho ni kiasi kikubwa sana Cha pesa.
🚮 Huyu alikua mchezaji nae wa Simba...ten pasenti ya nani hii ...Tetesi namba 13 sasa ni rasmi
View attachment 3403026
Hilo la tamaa sidhani, Fei yupo hapo alipo sababu hakati tamaa.fei hana moyo wa upambanaji. Ni mwepesi wa hasira,mwepesi kuridhika,mtu wa show off na mwepesi pia wa kukata tamaa.
Duke na Yahya ni the best mbele ya fei.
Bei imepanda mno sababu ya vita vya kumuhitaji, kama vyura wameshinda Simba iitumie hiyo bajeti kupata AM au CF mzuri CDM wapo wazuri sokoni kwa bajeti ya wastani, watulize vichwa.Mchambuzi Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿
"Mussa Balla Conte is now Green and Yellow
Niko hapa kuthibitisha Asubuhi hii Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien, Mussa Balla Conte (21) kwa mkataba wa miaka miwili.
Baada ya vita kubwa kati ya Simba na Yanga, usiku wa jana Rais wa Yanga alituma ofa kubwa zaidi kwenda kwa Conte na CS Sfaxien na ofa hiyo imekubalika na pande hizo mbili, hivyo asubuhi hii dili limekamilika pande zote
Conte ameahidiwa na Yanga kupewa Gari, Nyumba ya kuishi na mshahara mnono huku akihakikishiwa nafasi ya kucheza kikosini....kitu ambacho amekubaliana nacho.
Simba waliweka ofa mezani ila changamoto walitaka kulipa hela hiyo kwa awamu mbili kitu ambacho CS Sfaxien wamekataa....hivyo Yanga wamekubali kulipa hela zote kwa Awamu moja na CS Sfaxien wamekubali biashara.
Mussa Balla Conte ni kijani na njano".
Gsm nae msengeh kmmke dah 😂😂🚮Bei imepanda mno sababu ya vita vya kumuhitaji, kama vyura wameshinda Simba iitumie hiyo bajeti kupata AM au CF mzuri CDM wapo wazuri sokoni kwa bajeti ya wastani, watulize vichwa.
Ndo huyu mkuu AuBalla Moussa Conte ni mnyama
Alishapewa baraka na mkuu aendeleze soka. Simba kazi tunayo.Gsm nae msengeh kmmke dah 😂😂🚮
Kwaio katoa Dola milioni 1 ama dola.laki 6
Atakuwa anazishenyenta mbususu vilivyo😂 Pesa ipo..abaki bongo kabisa awale wadada Wazuri wa kibongo
Dola laki sita cash ambayo 5imba alitaka kuilipa kwa mafungu.Gsm nae msengeh kmmke dah 😂😂🚮
Kwaio katoa Dola milioni 1 ama dola.laki 6
Mshasahau ya Jiwe na Makonda zidi ya Manji mpaka ikapelekea stress na kifo chakeAlishapewa baraka na mkuu aendeleze soka. Simba kazi tunayo.
Nimesahau mkuu.Mshasahau ya Jiwe na Makonda zidi ya Manji mpaka ikapelekea stress na kifo chake
kwa nn msiwaposti wote kwa thank you 1😆Tetesi namba 13 sasa ni rasmi
View attachment 3403026
Basi kaa kwa kutuliaNimesahau mkuu.
Kwenye mahotel ya kifahari huko ...simu Moja tu ..njoo Ramada hotel ..Mrembo huyo hapo Katia timu ....Atakuwa anazishenyenta mbususu vilivyo
Utakuta waliona kama kocha atapata 10% na wao watakosa daaaa.Wameweza kutoa pesa hio tena kwa fadlu kuwavimbia tena kw kuwaambia waziwazi waache usengeh .. ila kwa coulibaly wameshindwa ..acha ituue tu hii timu yetu.
Mkuu shukrankwa majibu yako ila Niko hapa kukuambia kua kama ambavyo Simba tunacheza bolingo msimu huu kwasakwasa huyo mchezaji kashasajiliwa yanga baada ya wao kutuma ofa kubwa zaidi tena inayolipwa yote , nyumba na gari ...sisi wabahili wazee wa ten pasenti tulitaka kumpa kwa awamu( usanii na kutokua siriaz) ..kwaio habar ya huyu mchezaji imeshakufa kwa Simba ..tuendelee kucheza kwasakwasa
Hakuna mchambuzi hapoMchambuzi Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿
"Mussa Balla Conte is now Green and Yellow
Niko hapa kuthibitisha Asubuhi hii Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien, Mussa Balla Conte (21) kwa mkataba wa miaka miwili.
Baada ya vita kubwa kati ya Simba na Yanga, usiku wa jana Rais wa Yanga alituma ofa kubwa zaidi kwenda kwa Conte na CS Sfaxien na ofa hiyo imekubalika na pande hizo mbili, hivyo asubuhi hii dili limekamilika pande zote
Conte ameahidiwa na Yanga kupewa Gari, Nyumba ya kuishi na mshahara mnono huku akihakikishiwa nafasi ya kucheza kikosini....kitu ambacho amekubaliana nacho.
Simba waliweka ofa mezani ila changamoto walitaka kulipa hela hiyo kwa awamu mbili kitu ambacho CS Sfaxien wamekataa....hivyo Yanga wamekubali kulipa hela zote kwa Awamu moja na CS Sfaxien wamekubali biashara.
Mussa Balla Conte ni kijani na njano".
🤣🤣🤣🤣 Umeongea ukweli mtupu.Kwenye mahotel ya kifahari huko ...simu Moja tu ..njoo Ramada hotel ..Mrembo huyo hapo Katia timu ....
Ila kwa sisi pangu pakavu ...unazungushwa miezi 6 ukibahatika ndio Ile unasugua Hadi mapovu kwa hasira kisa umaskin wako na hasira tu ..tena hapo umekopa hela ya kumpeleka lodge...hapo hajala kuku na savannah...mamaeh..lazima utokwe na machozi