Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Imepita hiyo
 
USAJILI WA SIMBA THIS TIME MMMH, UMEKUWA KIMYA MNO!
kila tunapogusa tunaangukia pua😆,,
tusubiri akina jobe,ateba,fred🤣,,
dirisha dogo tunakimbilia kwa kina mpanzu wengine,,

wachezaji wazuri wana mikataba,, hao wanaosajiliwa mikataba ilishaisha, mpira pesa

kumbukeni TP Mazembe ile ya moto , sio hii , nazungumzia ile hata fainali mwarabu anakula chuma 4,, walikuwa wanavunja mikataba wanachukua wachezaji bora,


sio sisi hapa tunajazwa na wachambuzi , sijui hawa wachezaji wanawaonea wapi? Ligi zao hazipo hata 5 bora, wachezaji hapa bongo wapo weeeeeengi,
 
Unamsikiliza hans sio simba ni brand kubwa washaacha kutumia hela nyingi kwenye usajili wanatumia akili hata Madrid kule ulaya wanatumia akili sana hawamwagi hela kama zamani.
 
Unamsikiliza hans sio simba ni brand kubwa washaacha kutumia hela nyingi kwenye usajili wanatumia akili hata Madrid kule ulaya wanatumia akili sana hawamwagi hela kama zamani.
Kwahiyo Simba Wana strategic kama Madrid?
Huo ukubwa wa Simba uko wapi au unaupima na Nini?
Nionyeshe mchezaji yeyote aliyeonyesha nia ya kujiunga na Simba kwasababu ni club kubwa?

Achana na maneno ya kujifariji mkuu mpira unahitaji vitu vingi sana siyo mbwembwe
 
USAJILI WA SIMBA THIS TIME MMMH, UMEKUWA KIMYA MNO!
Yeah hata mimi nimegundua hili mkuu nashangaa wanaoeneza propaganda kuwa eti simba hawajafanya usajili wowote hadi sasa, haiwezekani simba waachane na wachezaji wote hao halafu wasisajili hata mmoja binafsi hadi sasa nimesikia wamefanya usajili wa wachezaji wanne wa nje kwa siri sana, ukweli ni kwamba kila mchezaji aliyeondoka simba wameshapata au wana uhakika wa kupata mbadala wake, tofauti kati ya yanga na simba ni kwamba yanga wamechagua kutangaza "welcome" zao kwanza kisha "thank you" baadaye, maana hadi sasa hatujasikia "thank you" yoyote rasmi toka kwa yanga ilihali kuna wachezaji wameondoka, ila simba wao wamechagua kuanza na "thank you" zao kwanza kisha "welcome" zitakuja baadaye, anyway tukutane kwenye yanga day na simba day kwa sasa acha tutulie lakini msimu ukianza ndio mbivu na mbichi zitakuja kujulikana
 
Vipi my wetu tukikutana utakubali kutupa kidogo kwa mara ya 6 tuchangamshe damu?
 
Hao wanne ikiwemo Feisal toto, 🙂
 
Nikki Mbishi aliwahi kusema "Hakuna story poa kama kumnyima spy info"

Hii ndio formula ambaye Simba wameamua kuja nayo msimu huu.
 
Strategic - No
Strategy - Yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…