Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mkuu hedex hakuna siku hizi kunywa tu hata Diclofenac...Nimeshajiridhisha hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
So hatujui kama itakuwa bora au la.Haijulikani si bado hatujui nani kaachwa nani yupo
Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.Mkuu hedex hakuna siku hizi kunywa tu hata Diclofenac...
Mtakuja na kila formula but msimu ukiisha vilio na lawama kwa Ngungus Boy havikwepeki.Nikki Mbishi aliwahi kusema "Hakuna story poa kama kumnyima spy info"
Hii ndio formula ambaye Simba wameamua kuja nayo msimu huu.
Kunywa maji mengi mpaka moyo uelee na utumbo na firigisi na bandama na Figo upunguze maumivu.... Unaporusha matusi na dhihaka ni kipimo tosha ni jinsi gani una Maumivu makali mithili ya kujigonga kidole Cha mwisho mguuni asubuhi tena kwenye baridiiii.... Kunywa maji aseeNimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.Kunywa maji mengi mpaka moyo uelee na utumbo na firigisi na bandama na Figo upunguze maumivu.... Unaporusha matusi na dhihaka ni kipimo tosha ni jinsi gani una Maumivu makali mithili ya kujigonga kidole Cha mwisho mguuni asubuhi tena kwenye baridiiii.... Kunywa maji asee
Pole sana ..jitahidi kula matunda ya saitriki kama mananasi na machingwa yatakusaidia....Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.Pole sana ..jitahidi kula matunda ya saitriki kama mananasi na machingwa yatakusaidia....
Tanzania hakuna sheria inayouhusu wachezaji wa nje. Kanuni za TFF ndizo zinazozuia timu moja kuwa na wachezaji zaidi ya 12 ambao siyo raia wa Tanzania, na kikomo cha jumla ya wachezaji 30 tu kwenye timu mojaHivi Sheria za Tanzania zinaruhusu wachezaji wangapi kutoka. Nje kwa timu Moja?
Wasisahau kuscout wachezaji wengine kwenye michuano ya CHANSimba ataanza pre season July 25
Mbona kama mhindiKocha wa Yanga View attachment 3413314
Vipi tena huko kariakooHuku Sasa kukomoana ...timu hazisajli kwa minajili ya ripoti za mwalim Bali kukomoa na sifa kutafuta sifa za kijinga...mmoja kaanza mwingine naona anaanza kumalizia ...Kuna taarifa......😂
HamnaMbona kama mhindi
Malizia mkuuHuku Sasa kukomoana ...timu hazisajli kwa minajili ya ripoti za mwalim Bali kukomoa na sifa kutafuta sifa za kijinga...mmoja kaanza mwingine naona anaanza kumalizia ...Kuna taarifa......😂
huyu jamaa sio member wa ile Band ya OneRepublic?, wazee wa "do you remember feeling broke as a bottle of wine....."Kocha wa Yanga View attachment 3413314