Unasemaje ushamba?? We wachezaji wazuri unasajili kutoka timu nyingine ni ushamba unafanya au ni suala la biashara huria??Ni ushamba tu. Washamba wa bush kabisa.
By the way,, Jonathan sowah rasmi Simba...ateba out...Dili la ataba mezani lilikua na pesa nyingi.
Usajili wa kimya kimya ni wa wachawi tu. Simba wanachokitafuta watachokitafuta watakipata. Mwishoni watakimbizana kuchukua kila rastaman aliyeko mbele yao.Usajili wa kimya upo na si lazima timu ikipata ofa itangaze kuwa imepata ofa. Naweza kuja na ofa nzuri tu na nikaomba usiiweke public na tukafanya biashara.
Mchezaji mzuri anaweza akajulikania kwako baada ya kumsajili. Halafu kujulikana hakuzuii uwezekano wa kwenda timu ambayo haitajwi kwenye tetesi. Haya unayosema hayawezekani yanawezekana boss.Wachezaji wazuri wanajulikana, uwezi pata mchezaji mzuri ambaye hajulikani na timu nyingi.
Sijui unajua Hilo????.
Ukiona mchezaji kaja Wala hajulikani na virabu vikubwa ujue huyo ni mbovu
Usajili wa kimya kimya ni kilio kwa wachambuzi wanaotafuta followers maana hawajui washike lipi.Usajili wa kimya kimya ni wa wachawi tu. Simba wanachokitafuta watachokitafuta watakipata. Mwishoni watakimbizana kuchukua kila rastaman aliyeko mbele yao.
Ndio ..tunamtakia kila la heri...Kwa hiyo ni kweli kuwa SImba amepokonywa !!
Ni ushamba sababu inajulikana wazi unafanya kwa kukomoa. Sio kwa sababu ni mapendekezo maalum ya kocha.Unasemaje ushamba?? We wachezaji wazuri unasajili kutoka timu nyingine ni ushamba unafanya au ni suala la biashara huria??
Hahahaha sijui imekuaje mana wanatuchukia ile mbayaNdugu wawili Trab na trat wamekubalije hili dili😂....
Sawa. Twambie wewePunguza kamba
Leo mashabiki maandazi wa yanga wanasema Bora hajaja sababu ana nidhamu mbovu ..ila angekuja angeitwa mfalme na wangesema ushambuliaji utakua hatari..Wachezaji wote wa simba na yanga Niliosema wataondoka Sijakosea hata mmoja.
Ila Ingizo la Sowa Limenishtua kidogo ndani nya Simba
(Nadhani sowa ni mzuri zaidi ya Ecua)
Ecua ni Dube mtupu.
Wameshachukuliwa rastaman wote afrika ..na pia ni kweli ni wachawi..wameshapata vyote..Usajili wa kimya kimya ni wa wachawi tu. Simba wanachokitafuta watachokitafuta watakipata. Mwishoni watakimbizana kuchukua kila rastaman aliyeko mbele yao.
Wakamchukue Rodrygo ...pesa ndogo tu Bilioni 300 ..Yanga wachukue Kila kitu...watuachie mangungu na nembo yetu
"Una njaaa ndioooo umeshiba ndiooo" ... Kwa sauti ya bwege mbunge ....acha uzezeta.Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo."Una njaaa ndioooo umeshiba ndiooo" ... Kwa sauti ya bwege mbunge ....acha uzezeta.
We jamaa Sina hakika kama uko sawa kichwaniNimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
Kwamba kupishana na wewe kiwazo au kimtizamo ndo kinakufanya useme hayupo sawa kichwani?We jamaa Sina hakika kama uko sawa kichwani
Unaijua $ 180m?Sawa. Twambie wewe
Unaijua $ 180m?